JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani huwa nazitamani za mshana jr hivi zina raha? Mie nazeekea jf sasa na sinazo hata za kutosha Ntakuwa bibi bila hata like 500? Hebu nipeni jamani, tena za kutosha, Nipeni za kutosha na...
23 Reactions
29 Replies
2K Views
Msichana wa Tanzania akikwambia ***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30] My friend zima simu utoe na betri...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza...
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Punchline ya kwanza kabisa duniani ilirekodiwa tarehe na mwezi kama wa leo miaka 98 iliyopita na rapa kutoka Nyanzaland ambayo kwa sasa inajulikana kama Mwanza. Ilikuwa inaenda hivi "Oko kaya...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Karibu ni neno la ukarimu, linaonesha utu, utayari , uhiari. Nalifurahia. Eleza chochote kuhusu neno "karibu"
6 Reactions
30 Replies
2K Views
kwema humu? wajameni.. kuna wadau wema wa MMU Jijini humo?;);):) nawakilisha
0 Reactions
8 Replies
843 Views
Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia fundi ''KAMATA HAO WATANGAZAJI WANAKIMBIA.
1 Reactions
3 Replies
943 Views
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati hapa anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia mwenyewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu...
12 Reactions
15 Replies
3K Views
Najaribu kufikiria kwa upinzani Tanzania Wapinzani walisoma namba hii 69 ila sasa CCM wanaisomaje??au na wao wanaisoma kama sisi?? Pole Eric Shigongo
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Kupitia kurasa zangu Facebook, imstagram pamoja jamii forums ambapo huwa natumia jina la SANGU JOSEPH nimekuwa nikiweka makala mbalimbali nikiwa natumia Hashtag za #kijanamzalendo #ilovetz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama hujui kutongoza basi hiyo kazi iachie wallet haiwezi kushidwa
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Je ungependa kuishi milele? Binafsi mimi ningependa sema sheria hairuhusu
1 Reactions
3 Replies
587 Views
Guys, Naomba kujua je, nikikupa nafasi ya kumwambia mpenzi wako chochote muda huu utamwambiaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mume na mkewe walikuwa kitandani asubuhi ya leo. MUME: Mke wangu leo ni siku ya wanawake , nifanye nini leo ili ufurahi maisha yako yote yaliyobaki? MKE: Kunywa sumu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji487] [emoji513] [emoji512]
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni member mpya hapa Jf, Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on...
12 Reactions
224 Replies
14K Views
Wananchi wakila hela ya serikali wanaitwa MAJIPU, je serikali ikila hela ya Wananchi inaitwaje?
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Nafikiri kati ya watu wanaongoza kwa kupewa majina ya Utani Ni Walimu na majina hayo hupewa na Wanafunzi wao Majina Hayo yanaweza kuwa ya watu maarufu/Topic/Ukali wake/Upole wake/Maisha yake kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom