JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HIVI SEFUE BADO HAJATAFUTIWA HIYO KAZI NYINGINE!!? Hapo ndiyo ujue kupata kazi Tanzania ni ngumu.... Kama Rais anamtafutia kazi Sefue hadi leo hajapata halafu wewe na mimi mtoto wa mkulima/...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena, nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtandao mpendwa wa Jamii Forum ungekua ni Serikali ukaambiwa uchague Members kutoka humu watengeneze hiyo serikali Ungependelea watu gani kutoka humu washike Nafasi Hizi ? Raisi. Makamu Wa...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
nimegundua ukitaka kumtukana kaka magu inabidi uwe US:) shkamoo Mange. sasa kaka, kwanza olehoo? amamiremo? nkoi awize toleho, hekaheka doho nkoi. :( naona hunielewi, ngoja nikubadirishie gia...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
*KAMA NI WEWE UTAFANYA NINI?* Mke alimuaga mume wake anaenda kumsalimia mam yake mgonjwa kijijini, akaondoka ijumaa na kurudi jumatatu huku akiwa na matunda kibao pamoja na vyakula vingine toka...
1 Reactions
8 Replies
976 Views
Kati ya kutoka na kuingia kipi kilianza tuone mtajibu nini?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Member waliosoma teku tujuane humu na kupeana taarifa za maendeleo ya chuo c vibaya ukaonyesha mwaka wako pia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Daah! Kwakweli nimeamini ukilewa unatumia pesa vizuri. Unaposess 0- hasubuhi strees tupu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ndama kakata kamba, aruka huku na kule. Sitaki wakunifunga, acheni niruke ruke. Siku nilipokuona nilihisi nimelogwa, uchizi ulinipanda nurusa nikate moto. Kitu gani ulikifanya nabaki...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mdogo wangu, ninakutakia furaha katika siku yako ya kuzaliwa. Happy birthday to you... Wanajf, dua zenu kwa mdogo wetu/dada yetu ni muhimu. Na huu ndio urafiki na undugu [ATTACH
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Jamaa mmoja alinipigia cm akitaka nimkope sh 20000 nikamwambia labda nimpe sh18000 akaniambia poa nikamwambia apa nilipo ipo 15000 akasema poa nipe iyo 15000 sipunguzi tena apo sasa cjaelewa...
0 Reactions
4 Replies
999 Views
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hii ilitokea hospitali ya vichaa. Dokta alikuwa anawapima wagonjwa wa akili. Dokta:Leo tunabadilika kuwa wanyama Vichaa wakaanza wengine kutembea kama ng'ombe wengine wanalia kama mbuzi ,wengine...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ilivo tofauti za kimitazamo na kutoelewana, humu pia hali hizo hujitokeza, kwa kuwa watu ni wale wale na masuala yanayotutofautisa ni yale yale! Zijue baadhi ya ukinzani ama tofauti ama...
9 Reactions
81 Replies
5K Views
Rider Content Manager PainKiller Content Manager Active Content Quality Controller Maxence Melo JF Founder Reserved Content Manager Mod 4 Content Manager hawanaga shida hawa we tupia tu...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati mlango anaogonga anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…