Jamani kuna kitu nilikuwa natazamia kukifanya mda mfupi ujao, lakini kitendo tu kuingia humu ndani na kukutana na habari moto moto nyingine zenye kuburudisha, nyingine za kusisimua, na nyingine...
Nmekuwa nasikia wana jb wakitaja neno kama "wanawake wa dar",napenda mnieleweshe hawa huwa ni wanawake wa namna IPI na wana tofauti gani na wanawake niwajuao mm?
TANGAZO
Kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, ukosefu wa dili, ugumu wa biashara, Ukali wa Rais mpya, kila familia moja ya Kichaga italazimika kutoa mwakilishi mmoja tu wa kwenda Moshi Mwezi ujao...
Weekend hii wanawake mtusamehe,Tutakuwa bize na vitu vya maana...hatuwezi kuacha hizi game kwa vitu vya kijinga.
It's gonna be[emoji95][emoji91]
Man Utd vs Arsenal
Dortmund vs Bayern...
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe.
Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya...
kama mazabe flani leo ndani daladala niko zangu bize nasoma makala za JF hapo pembeni wamekaa sista duu mbili zimejikwatua mara mmoja akaanza hata me nipo JF!unatumia user gani?
nikamjibu me...
Wakuu habari za weekend nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine hapo jana tar 18/11 Najitakia maisha marefu yenye heri na baraka by the way sikupost jana sababu nilikuwa...
Nakumbuka enzi zile unakutana na vitabu kama, Gulliver the traveller, Moses (by barbara kimenye), the narrow path, when clouds gather, Master and servant, Madam this is anne,
Tiririka vingine...
"Man In The Mirror"
I'm Gonna Make A Change,
For Once In My Life
It's Gonna Feel Real Good,
Gonna Make A Difference
Gonna Make It Right . . .
As I, Turn Up The Collar On My
Favourite Winter Coat...
KAMA WEWE NDIO BABA AU MAMA WA NYUMBA HII UTAMFANYA NINI HOUSE BOY?
Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss...
*Kwa wale ambao hamjaoa muwe makini sasa, unaweza oa mtu anadaiwa na Helsb milion 20 huko, utazilipa mpaka ushike adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
```Msichana Wa TUDARCO, UDSM NA IFM akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...
Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...