huwa naona kwa mitandao ya simu kwamba kunda bando ambalo ukijiunga unapata whatsapp na facebook bure kama wiki ama mwezi,nilikua nauliza kwanini JF na yenyewe isiweze kuungwa humo,ili kurahisisha...
UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!
Jana mpangaji mwenzang alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio
anataka kulala.
Leo anapika pilau na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya viungo nataka kula ugali...
Mandeleo yameua swaga nakwambia. Watu siku hizi wanajidaiii eti wana swaaga, aa wapi!! swaga zilikuwa zamani bwana. Enzi hizo za redio moja, mtu ukitoka kijijini na kuweza kuja kukaa mjini hata...
*MAZINGAOMBWE*
Man can do woman can do it beta hii jeuri sijui wanaitoa wapi wakati wakikojoa wanaweza kuandika hata jina lake chini si kila mwanamke anafa kuwa mkeo baada ya kutoka safarini kwa...
*Mwaka jana mwishoni nlimpa rafiki yangu namba ya mpenzi wangu amjaribishe kama atamkubalia maana mpenzi wangu alikuwa ananiambiaga hawezi nisaliti na hakuna kama mimi. SASA Jmoc NI HARUSI YAO*...
baada ya kukengeuka sana kama kijana...ni kitu gani mama yako alikisema ama alikifanya na kikakurudisha katika mstari mnyoofu???
Share na mimi mkuu kama itakupendeza.
Dedication
OCTOPIZZO mama...
..
nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki
nilikutwa na kasheshe si kitoto, nilikuwa ndani ya Daladala
inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa
nimekaa na dada mmoja Mashallah M/mungu...
.....Anakuumiza sana? Hajibu sms wala kupokea
simu halafu Unampenda kishenzi...acha kujifanya
unaumia sana.
Kuna mtu uliwahi kumfanyia hivyo hivyo... maisha
yanazunguka tu...life circle. Tafuta...
Mungu Wasamehe Wanawake Wote
Wanaoponda Wanaume Wafupi,
Wanene, Wabaya Na Masikini
Wape Maisha Marefu
Waendelee Kuchezewa Na MahandSome Hadi Uzeeni
Amen_
Wakuu hope mko poa,
Kuna watu humu JF huwa wanapatia sana wakileta nyuzi za aina flani namaanisha akileta nyuzi za namna hiyo uwa zinavutia sana kwa upande wangu ni hawa hapa;
1: Mshana Jr huyu...
:CHEMSHA BONGO: Nataka kujua kama ww ni mtoto wa TOWN, Sehemu gani hapa TANZANIA kuna majengo ya kifahari na hiyo hiyo sehemu jina lake ni chombo cha kupikia jikoni hilo hilo jina ni...