JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
4 Reactions
81 Replies
6K Views
Leo ni siku adhimu,rafiki yangu,kaka yangu mpenzi aliweza kuletwa duniani kwa rehema na neema za Mungu! Ametimiza miaka kadhaa hapa duniani hvyo ni jambo la kumshukuru Mungu pia kuweza kufika...
9 Reactions
487 Replies
15K Views
wadau wa mziki hii battle ya kale haiamliki hebu tupia comment yako unahisi nani mkali kati ya Celine dione na Shania twain
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata...
9 Reactions
121 Replies
6K Views
Anza ku comment ukianza na neno "kinachonishangaza " naanza Kinachonishangaza ajira zimeachiwa lakin walim bado hawajaajiliwa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakaka kama mna jeans zenu hamzitaki au mmezichoka nipeni nizifanyie mautundu.... Jeans ya dogo,nimejipatia gladiator yangu matata,sina habareeee[emoji23][emoji112][emoji152][emoji152]
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Habarii zenu jameni. Nahitaji mtu wa Arusha mjini ani PM na shida nae
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Tujikumbushe tu..., Donald Trump.. “African Americans are very lazy. The best they can do is gallivanting around ghettoes, lamenting how they are discriminated. These are the people America...
2 Reactions
1 Replies
485 Views
Habari JF.... Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda.... Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo... Yako unique aseee... 1.Nangwana sijaona 2.Ubena Zomozi...
1 Reactions
56 Replies
3K Views
wadau hebu fikiria kitu kimoja tu ungependa mungu akuongezee kwenye mwili wako ungependa nini????
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja humu JF ni maarufu sana jina namuweka kapuni, Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu. Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini...
23 Reactions
290 Replies
17K Views
A man who has never made a woman angry is a failure in life.
0 Reactions
3 Replies
674 Views
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*, *Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji...
15 Reactions
36 Replies
6K Views
Teacher:'Annie ,give the formula for water' Annie :'Yes sir,HIJKLMNO'
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Wana JF, nishaurini juu ya uamuzi wangu huu, maana kuna jamaa amenitisha eti kufungua akaunti kwenye hii benki ni sawa na kibonge kukwea mti wa Mpapai!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yeeee sasa tuone za enzi ziiile udogoni hebu taja filamu yako ya kwanza kuichek maishani mwako mi naanza na IT nilikua naiogopa kinomanoma hebu wewe taja yako na hisia zako hapa
0 Reactions
2 Replies
559 Views
Dah! Huu wimbo kweli balaa,si nimeuota leo....
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kwanza habari zenu wanajamvi wote Kwa ujumla.Mimi Nina tatizo la kuishiwa damu Kwa baba yangu yaani damu inamuisha tuu Na kila baada ya week Tatu au nne anabidi aongeweze damu. Tulikwenda kila...
1 Reactions
9 Replies
992 Views
WAHENGA WALISEMA CHOZI LA SAMAKI LINAKWENDA NA MAJI.... Mimi nasema CHOZI LA MWANAMKE HUMLAANI MWANAUME ALIYE UMIZA MOYO WAKE! Mara nyingi mwanamke huingia katika mahusiano ili KUITETEA AMANI...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu Wana Jf, Ukienda Arusha ni balaa,ukija da Shida,kampala usiseme ,Ruanda haya,mbulu wacha,Mombasa haya,Tanga sokomoko,Morogoro,Mbeya,Upare,watoto wa kike ni balaa,mnazidi kupendeza...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…