Kuna haja watu wawe wanatumia majina yao halisi . kuna watu humu ndani wananipa mashaka hasa huyu Jamaa wa visa na mikasa ya mapenz SODOKU.
nahisi ni mtangazaji wa ITV au Clouds TV na Radio. Mara...
Mchaga aliamua kufungua bustani ya
wanyama akafanya kiingilio 10,000/=
hakuna aliyeingia akashusha 5,000/=
pia hakuna aliyeingia akashusha tena
2,000/= hakuna aliyeingia akashusha
1,000 pia hakuna...
MAFANIKIO YA AWAMU YA 5 SASA YANAANZA KUONEKANA
1. Kuna ongezeko kubwa la waumini makanisani japo sadaka haiongezeki (watu wanatafuta pa kuzugia kusukuma weekend)
2. Ndoa zimeendelea kuimarika na...
Unajua MENDE tunamchukulia poa poa tu ila yule mshikaji ni bonge la mdudu yan,MENDE ndo mdudu pekee anayeweza kusavaivu katika bomu la nyukilia "nuclear"....Yan likitwangwa nuclear bomb hapa...
Hi
I'm a man aged 23 years old, am looking for female friends with ages not more than 24 years old. For more info about me, 0624054766. You are welcome.
Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF.
Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na...
Baadhi ya Majina yenye
utata zaidi duniani kulingana na lugha ya kiswahili.
1. Sito Mbeki
(Daughter of Thabo Mbeki. SA)
2. David Kinembe
(Waziri Tanzania)
3. James Kakuma
(Minister of Trade...
Habari zenu wapenda naleta huu uzi kwa wale wote wenye majina tofauti na yalio kwenye vyeti yaliyotokana na kupewa na marafiki shuleni,mazoizini,safarini,vyuoni na n.k
NAANZA NA MIMI MWENYEWE...
*Let's play a game...*
Find your BIRTHDAY MONTH, DAY and
YEAR and *form a sentence...*
Select your month
Jan : I need
Feb : I killed
Mar : I slept with
Apr : I raped
May : I slapped
Jun : I...
Tangu zama za kale tumezoea waganga wa kienyeji wakituagiza vitu ambavyo tumevizoea kama vile kuku mweusi au mweupe nk.
Mganga wangu huyu amesema nimerogwa uchawi wa jua na maji!Eti ili...
Wandugu,nimekuwa nikijiuliza na kushangaa hiki chakula chenye majina mengi kwanini kinapendwa sana na watu karibu wa rika zote?Labda walevi ndio hawakifagilii sana.
Nipo ugenini kwa ndugu...
Nyie madada mnaovaa mawigi yenu kichwani yanavyowatoa chicha mnaonekana ka kina Rihanna, Beyonce au yule mke wa Kanye West. Kiukweli yanawapendeza mnoooo wengi wenu ila chondechonde mnapoanza...