*CHEKI HII YA PANYA*
[emoji232] [emoji232] [emoji232] !
*Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi*
*Panya 1: *jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya)...
1. Hivi Barcelona wakuwafanyie vile Man city tena mbele ya Pep Guardiola mtu aliyewapa mafanikio?
2. Jaman jaman Chelsea ndo nini sasa au mmemsahau Jose Mourinho?,oneni sasa mmeleta janga eti siti...
Daah , nakumbuka nilimtumiaga meseji mamangu, sema baati nzuri dogo alikuwa home na nilimuga akaiwahi
Maza nakumbuka nilimseve mamy , na nilimseve demu wangu may
Daaahhhh wacha kabisa
" baby...
Mungu amewapa wanawake pampuchi bure kabisa lakini wanatufanya tufanye kazi kuzipata na zaidi tunatumia pesa kabla atujazipata. Tunawapa dushelele pasipo wao kutulipa, pasipo makubaliano na...
kulikukuwa na watu wawili mtu na mke wake. watu hao walikuwa masikini wa kutupwa. siku moja walitembelewa na mtu aliyekuwa akisafiri. walimkaribisha kwa ukarimu na akalala hapo. mgeni huyo...
Wakuu habarini,,,,, ivi kunamtu amebahatika kuiona page ya Instagram ya uyu kijana aitwae johkepha_starboy
Ni nimeshangaa katika page yake mambo anayo ya post ,,,, nimeahangaa kajitoa ufahamu...
kama ni vituko na kupoteza akili basi wengi wengi hutokea tukiwa tumelewa!
hutaweza kujizuia kufanya kioja maana kwa wakati huo akili inaenda likizo kidogo.unaweza kufanya kitu kesho ukiambiwa...
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6...
wanajukwaa chit chat
kuna maneno enzi fulani ukiongea au ukiyaunganisha katika misemo inaleta ladha unaonekana mjanja wa town sana.
hebu leo tujikumbushie kwa uchache vibwagizo hivyo.japokuwa...
Aisee hapa JF kuna waroto wazuri yaani ukiwaona tu roho yako inasuhuzika. Hata siku nikiwa na stress nafungua baadhi ya avator kuufariji moyo wangu. Baadhi ya warembo ambao wananikosha ni...
Ilianza kama utani sasa hivi ni kweli jamaa wamelivalia njuga TCRA! Mi napenda sana kasimu kangu ka TECNO ni kasimu kenye usalama, SAMSUNG zinalipuka ovyo, sasahivi naogopa samsung yoyote ile...