Leo asubuhi kwenye redio ya kabajaji, wakati nakuja kwa mkoloni:Haka kawimbo ka TOT kalinitafakarisha mengi sana:
Ooooh oooh *****,
Usilie na mimii mamaeee,
Mpenzi wako mimi sijamwita eeeh,
Kaona...
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Ama nilizingua?
BRAZA CHOGO
Nikifa...
Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za...
Dakika chache kuanzia Sasa ID hii ya ndege JOHN Inafungwa rasmi
Tukio la ku log out na kufuta app ya Jf nilitaka nilifanye Jana Ila mambo yakawa mengi baada ya pigo la gwajima kuingilia safari...
Kama ilivyo sentesi ndefu, haikosi kuwa na koma.
Nami leo naomba niweke koma kwa utumiaji wangu wa JF.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,
ninasikitika kuwataarifu wote kuwa tangu leo...
MALKIA WA NGUVU~PART1
SIA:
Birthday yangu inakaribia, Oh My Gaaaaash! Hata sijui nitafanya kitu gani, muda umeenda na nimechelewa mpaka inakaribia valentine sijaplan uuuwi nafwaaaa!
Sijui niende...
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba...
Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore.
Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina...
Habari za wakati huu,
Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext.
Shukran.
Kutuamsha salama
Kutufikisha kazini salama
Na kumwamsha huyu anaesoma hapa salama
Utusaidie turudi salama na tukumbuke kutoa shukran kwako kila iitwapo Leo
Kama waamini sema amen
Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI.
Katika mjadala...
Simulizi: My family
Sehemu ya pili
Mtunzi: Kijana Masikini
ILIPOISHIA
"Daa Qashy nae akapanda bodaboda na kumpa ishara dereva aifate pikipiki aliyopanda yule mzee...
Kausiku kameingia, njooni tuzogoe.
Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila...