Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula...
Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka...
Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito.
Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa...
Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu
Smart911 huyu pia ndo wale wale
Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu
Comment zao hizi hapa
Ebu tuone
Binadamu...
Mzuka wanajamvi
Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu...
Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.
nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.
Kila tuki piga...
🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
Wakuu kwema,
Kuna vitu mbalimbali ambavyo vinatambulisha maeneo fulani bila hata ya kuangalia location ya mahali ulipo. Tuvitu vitu ambavyo ni spesho kwa kwenye mji huo.
Ntaanza mimi;
-...
Yessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile...
Miaka ya 80 Wazee wangu walisumbuliwa na mauzauza pia na maradhi yasiyoisha, Basi siku moja wakasikia kuna mganga ametoka Uganda anatumia (Amaembe)Mapembe sijui niite hivyo ila kwa wakazi wa...
Hapa kuna jambo kidogo.
Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda.
Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima.
Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka.
Ilikua baada ya ya kuniletea...
min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.