Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili
Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama...
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz...
Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi
Kana saidia sana sanaaa
Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii
Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA...
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc
miondoko ya aina yake, hapa ndipo...
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya.
Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie...
Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa...
Nina 30yrs, naishi kwetu still nina kabiashara kadogo ila hakaendi siku nyingine nakuta kinyesi nje ya biashara, sina mahusiano yanayoeleweka naweza kuwa kwenye mahusiano mtu akaniacha bila...
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA
Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA...
Wakuu,
Najua kila mtu ana stori au jambo lake ambalo akilisimulia hapa watu tutafurahi,
Katika jukwaa hili la jf, unaweza ukaanza kusoma replys za wadau hata kama ulikuwa peke yako unaweza...
Ova
Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi
Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa...
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi.
Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10.
Iwe mbeya mjini maeneo ya...
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.