JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu Maumivu yameanza taratibu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Nafanyaje wakuu?
15 Reactions
90 Replies
1K Views
Vip watafutaji, wapambanaji na wawajibikaji? Kwanza niwasilimu na kuwapongeza wote mnaopiga kazi bila kuchoka. Hongeren sana. Sasa ni kawaida kwa mpambanaji kukutana na changamoto kibao za...
2 Reactions
0 Replies
103 Views
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu. Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumo. Lakini cha...
8 Reactions
58 Replies
742 Views
  • Redirect
SIMPLE GHETTO KWA MARA YA KWANZA wigos 😁 1.Akikisha una kazi ambayo itakupa hela ya kodi 2.Panga chumba cha bei ndogo lipa kodi ya miezi mi 3 Usikubali kutoa kod ya mwez 1, m1 maana ndo unaanza...
2 Reactions
Replies
Views
Vitu 10 vya kuzingatia ukitaka kuanzisha ghetto lako SIMPLE GHETTO KWA MARA YA KWANZA wigos[emoji16] 1.Akikisha una kazi ambayo itakupa hela ya kodi. 2.Panga chumba cha bei ndogo lipa kodi ya...
7 Reactions
11 Replies
329 Views
Wakuu wahenga walishasema elimu haina mwisho. Nilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini. Nimeshangaa mfululizo wa simu kutoka wa wadau wa kazini...
19 Reactions
111 Replies
3K Views
Masanilo a.k.a Rev. Masanilo BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema klorokwini kwinini Numbisa Nazjaz mfuga majoka Jemima Mrembo Sumbalawinyo @kidukulilo Bill Lugano a.k.a tajiri litutumbwe Hebu ongeza wengine
25 Reactions
344 Replies
7K Views
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
51 Reactions
204 Replies
5K Views
Sifa za mwanaJF 1. Wote humu ni wasomi. Graduates wa UDSM, SUA na MUHAS ni wengi zaidi. 2. Kila mtu humu ni kipanga. Wote tulifanya vizuri shuleni. Kila mtu ana A ya Physics hata kama aliamua...
19 Reactions
42 Replies
834 Views
Kwa uelewa ulionao sasa, unafikiri ungesoma shule tofauti ingekusaidia kwenye maisha, ajira au biashara? Je, watoto wako watasoma shule kama uliyosoma wewe au utawapeleka kwingine? Binafsi...
13 Reactions
77 Replies
764 Views
Gari niliyonunua milioni 5 nikiwa nimeitumia miezi miwili tu niliiuza kwa milioni 1 na laki 3 kumaliza kesi flani isifike mbali tumalizane kimya kimya, pesa ilikuwa inahitajika fasta hivyo mteja...
37 Reactions
140 Replies
6K Views
Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka...
13 Reactions
75 Replies
816 Views
Huwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa. Hii tabia inaboa sana.
10 Reactions
72 Replies
974 Views
Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
12 Reactions
102 Replies
1K Views
Adolescence stage ni kipindi kati ya miaka around 16 hadi 22 hivi. Ni umri wa kubalehe kwa mwanaume na kuvunja ungo kwa msichana. Kisayansi unaitwa foolish age kwa sababu kijana ndo anaachana na...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
12 Reactions
88 Replies
1K Views
SOURCE: Grok. Ikiwa ningekuwa nikicheza nafasi ya adui mjanja kama Shetani, labda ningejaribu kuchafua kichwa cha mtu badala ya kutafuta kitu chochote cha kustaajabisha sana au dhahiri...
6 Reactions
8 Replies
302 Views
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina. Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani, hebu mniambie mbinu nitakayoitumia...
12 Reactions
95 Replies
1K Views
Niliwahi kwenda ghetto la mwana fulani nikakuta anapikia bunsen burner! Nilipigwa butwaa kucheki pembeni kitandani ametandika shuka la msd. Cc: Joanah | Mshangazi dot com | Intelligent...
18 Reactions
124 Replies
2K Views
Back
Top Bottom