Asubuhi mmeamkaje.
Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi...
Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
Kusikiliza muziki...
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi...
Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.
Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu...
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda...
Kuna Dada mmoja anamporomoshea kashfa na kejeli za kila namna mume wake wa zamani, akimwita ka Omari.
Mbaya zaidi huyo ka Omari kakaa kimya, hajibu chochote
Tuanze na faida
-Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote.
- Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali...
Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies.
Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads.
Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future...
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert...
Popote pale utakapouona uzi wangu mimi Tajiri sinabaya, au uzi wa GENTAMYCINE usiupite bila kuusoma, huwezi kukosa MADINI ya kutosha kwenye kila herufi ya maandiko yetu.
Asanteni sana.
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa...
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha.. Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu...
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.