Habarini wakubwa wa kazi,maandalizi ya watani kunyoana kesho nadhani yanaenda kwa kasi nzuri….Rada za huku kwangu zinasoma kwamba bado tabu iko palepale,ila mwishoni mwa ligi watakaoteseka kesho...
Evelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or...
Kila Mtu kwenye maisha kuna wakati anaamua kucheza kamari na maisha yake anaona Liwalo na Liwe, ikitiki Nimetoboa ikibuma FRESH (Kakubali Matokeo)
Ni wakati gani kwenye maisha yako umeshawahi...
Nimeogopa sana!
Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭
Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe
Nakushauri...
Wakuu niaje.
Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
Ulitumia kitu gani?
Ulichukua hatua gani baada kujua?
Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha.
Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
Wanabodi,
Huyu jamaa sio kawaida yake kabisa kuacha kutupa threads mbalimbali kila baada ya muda mchache siku kwa siku,
Nini kimemkuta huyu mwanafamilia wa jf?
Yoyote mwenye taarifa zake atujuze.
SLOW DOWN
1. If You Are Looking For Wealth, Somebody Is Looking For Health.
2. If You Are Looking For Health, Somebody Just Died.
3. If You are Looking For Power, Somebody Has Acquired And...
Mwezi wa Pili unaisha leo, wale mliozaliwa tarehe 29-02 endeleeni kusuburi mpaka 2028!
Wazee wa mwaka wa kuforce mipango ya kuitwa Boss imekaaje kwa mwezi wa 3?
Wale ambao LBL imewasaula...
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so...
Mods:
Kuna Threads Nyingi sana zime/zinaaanzishwa juu ya Babu Loliondo, Hii ikiwa mojawapo.
Ningeomba kama kungekua na uwezekano wa kuziunganisha zote. Or just One thread with sub topics ie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.