Kuna kitu huwa kinanistaajabisha kidogo hapa bongoland hasa kuhusu jamii ya watu wanaotuzunguka.
Yani mtu ukiwa huna shobo zile za kindezi kwa watu au kushabikia mambo ya kipuuzi puuzi basi jamii...
- Mbaba anayemiliki kipara hasa kile cha kung'aa
- Mbaba mwenye kitambi
- Mbaba anayevaa suti akiongezea na tai ndo ina thibitisha ana vibunda vya kutosha
- Mbaba yeyote anayevaa miwani hata...
Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo
Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia.
Msiende kusanga hayo mahindi...
Habari Wakuu!
Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga.
Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini...
#PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani?
#PilikaPilika #HainaKuchoka
Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu...
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani.
Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale...
Happy New Week,
Kama thread inavyojielezea, jitahidini kukontrol ndoto, baadhi huambatana na mambo ya aibu kama ukiziendekeza.
Jamaa yangu juzi kanipigia stori yaliyomkuta. Kama kawaida...
Kwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi...
Wanawake wengi Pwani , Dsm , Lindi na Mtwara hawavai kabisa nguo za ndani ( chupi).
Unamkuta mwanamke kavaa dela , khanga , gauni, taiti au suluari lakini ukimkagua unaona ndani ni kama...
Wakuu,
Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni.
Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo...
Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma.
Utasema ooooh...wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.