NIMEKAA NIKAWAZA KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVI WAAFRIKA HATUYAJUI
KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,WACHINA NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWA TUNAWAPITA KIMAENDELEO
MAMBO YENYEWE...
Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila
Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini
Aliyekusaidia fedha za matibabu baada...
Unajua ukisoma comment za mtu na ppst zake mara kwa mara huwa kuna picha fulani inajengeka huyu mtu anaweza akawa ana mwonekano upi in real life
Unaweza ukawa karibu sana na ukweli au mbali.
Watu...
Mhhhh asikwambie mtu,sie watoto wa kike tunapenda mwanaume mwenye pesa bwana....hata akiwa wa mkoa,tutavumiliana[emoji108] Upoo
We nyanyua vyuma ukawe mlinzi babu ee[emoji108] ,Skuizi hatuvutiwi...
Hapa Mkenya anakuelekeza njia ya kufika mahali..
"CHAPA hivi hadi juction then NYONGA left hadi ufikie hiyo mlima UA kabisa hiyo mlima hadi Ukute Mosque.Utaona kichochoro on your right .KATA...
Mhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni...
Habari wana Jf.
Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed...
Nataka kuuziwa mkoa mmojawapo na watu wake, na vyote vilivyomo, naomba ushauri wako, ninunue mkoa gani na kwa nini unadhani ni sahihi mimi kuununua mkoa huo?
Baada ya kuwaza kwa sauti. napingana na hawa watafiti eti tunawaza kwa 1% tu. wengine watafiti wengine tena wamekuja juzi apa, Kati ya watanzania 4 mmoja ni Kichaa
Mimi Hapana jamani
Mimi...
Sisi tunaoishi mwanayamala, ndugu zetu Wa magomeni mazense kagera tandale...kwa hilo tunashukuru sana Rais wetu Magufuri... Maana siku hizi japo sijaoa ila naamini heshima inarudi kwenye ndoa...
*Natafuta kiki Remix - Mtoto Nux*
_Mbeya Day Records_
Nataka nitoke kwenye gazeti,
Niuze sura
Niseme nilichezaga karate
Shuleni nipate bonge la kesi,
Niumizwe sura,
Nilete matata mpaka kwa Joyce...
Mpenzi wangu anafanya kazi PHARMACY
Siku nikiamua kumuharibia cku yake
Huwa naenda kununua CONDOMS for NO reason SOMETIMES naenda kununua hata mara tatu...
Naifurahia sana tamthilia hii.yaani sasa HV ni tamu.ulikuwa inaniboa ilivyoanzishwa miaka ya 90.lakini sasa ndio inavutia.maisha ya bongo yanaakisiwa sana.hongera lincon kwa kuwa Mwenye ukali Na...
kwa mfano uongozi wa jf ukatoa ofa kwa kila member wa jf ampige ban ya wiki mtu mmoja..utampiga ban nani? Aisee mimi ningemdunda ban huyu anajiita cristela...aende akajipange upya.