JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo k iongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Watu wana maneno sana. Wanazidi kumwaga majina mbalimbali kwa ndege zetu. Mengi ni ya utaniutani. Si unajua tena nchi yetu inavyolindwa na utani tulionao? Wanaziita ndege zetu hizo mpya majina...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Ata uko naye Baada ya muda atakwambia simu yangu siioni Ukipiga Mara ilikuwa jikonii, Mara Mara kibaaao Sasa akupigie yeye usipokee weeeww!!!!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nani kasema kuna haja ya kupata hasara kununua kadi za upinzani au kuzilipia. Ni upotevu wa rasilimali tu! Save money! Save resources! Buy and pay for CCM cards!
3 Reactions
1 Replies
714 Views
Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau wote wa hapa Nimeuliza swali nahitaji kila mdau aseme aonavyo kuhusu UKAUZU unakuwaje au unaanzaje? Karibuni kwenye kijiwe chetu leo sifundi kabisa bali tuko kwenye kuchangamshana...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
*Upendo wa kweli ni nini?* *[emoji117]Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani* *Kifo ni nini?* *[emoji117]Kifo ni pale...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
BAHATI ILIOJE HII JAMANI. ×××××××××××××××××× Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati (City Center), nikaipenda suruali moja ya shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo ikabidi niende kutoa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninavyoandika ujumbe huu ndo nimegundua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa daah, any way happy birthday to me
0 Reactions
44 Replies
3K Views
..Tuvilinde sana na kuvitunza vivutio vyetu vya utalii.. Wakenya ni wajanja wajanja sana wale.. HAWAKAWII KUSEMA LIPUMBA ANAPATIKANA KWAO!!
6 Reactions
14 Replies
2K Views
..kitu gani kimekufanya utumie ID feki,na usitumie jina lako halisi???? kwa upande wangu nimetumia feki ili nitalk openly
2 Reactions
59 Replies
3K Views
haya twende na ya kwako[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Hi Guys, Watu wa S7 tunacomment wapi? Sitaki comment zangu zimix na hizo huawei na ma tecno zenu [emoji275][emoji275] ~~Wahaya bana[emoji23][emoji23][emoji23]~~
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Rose: Pouwa Wangu, Usku Mwema, Tinnon: Nawepia,, Byeeeeeeeee!!!! UNALALA KAMA NUSU SAA, Kwakua Unampenda Sana unaamka, Kisha unaingia kuangalia SMS ulizochat na rose, unaona bado rose yupo...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=. Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/=" Nikaamua nipande niende zangu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
918 Views
*Shemdoe na Mwalimu wa English:* *Teacher:* ```Who is a pharmacist?``` *Shemdoe:* _(raised up his hand.)_ *Teacher:* ```So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…