Kuna kitoto ukikituma kitu dukani ni lazima kionje...juzi nilikituma viazi vya jero akaniletea viazi za mia Tatu ...nikamtuma mkate akaleta ukiwa nusu..jana nimemtuma sukari akalamba almost half...
Ndugu wanajamvi,
Ni mda sanaa sijamwona huyu mwana JF mwenzetu anatumia jina la " TINDO".
Tuko tofauti kiitikadi ya uchama lakini ni mtu ambaye naheshimu sana mawazo yake hasa kwenye jukwa la...
Meneja wa Zenji Community forum Asema tunafanya kazi kwa bidii ili kuleta maendeleo ya Kitechnolojia hapa Tanzania ndio tunaendelea kuboresha huduma zetu katika forum ya Zenji Community in...
kuna katoto ako nikikatuma kitu dukan lazima kaonje kwanza... juz nimeki2ma mkate kimeleta nusu, jana nimeki2ma sukar kimelamba imebak kdogo tu... Leo nimeki2ma super glue kudadek zake...
-Hivi karibuni kumekuwa na kitu ambacho ningependa kukuita "Kuvamiwa kwa JF" yaan uwepo wa wanachama wasio wastaarabu,hawa kazi yao kuandika mambo yasiyo na maana hususan ngono,threads kibao...
Kipindi niko mdogo kabla ya kufika darasa la sita na saba kujifunza elimu ya uzazi niliwahi kumuuliza mama amenipataje ,nadhani ilikua katika harakati za kutaka kujua mambo mengi zaidi ila bi...
Ebwana wadau kuna duuh fulani , nilimtokea siku za nyuma alikubali ila alisema hanipi mzigo mpaka Pogba ashinde goli, ebwanaa eeeeeh leo kama zali vileee kitu wamo Pogba katupia mbona niliwehuka...
Wakuu,
Nipo naelekea tarime kwenye basi la Zakaria air bus kutokea Mwanza lakin najikuta pekee ndo natumia app ya JamiiForums...!!
Swali ni...je watumiaji wengi wa JF ni wa kutokea bongo(Dar)ama...
```UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA
HIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKU```
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
[emoji121]
WAKUU,
INAFAHAMIKA KUWA MIMI NI MTU WA AMANI SANA,
NI MWEMA, MPOLE, MKARIMU NA MSTAARABU.
HUWA SIPENDI SHARI NA YEYOTE,
NA NDIO MAANA SIKU HIZI KITAA WANANIITA
*SENETA WA MTWIZ, _The...
Wakuu nimeamini mapenzi yana nguvu kiasi kwamba waweza fanya mambo mengine kwa msukumo usiokua na tija. Juzi hapa nimekuwa nikisafiri kutoka mkoani kwenda Dar, but ndani ya bus kulikua na mrembo...
Wakiongozwa na mshana jr hii ni hatari kwa usalama wenu barabarani heheheheee.
Wapare ni watani zangu hivo tucheke wote tuu ila mna tabasamu zurii. .... kama la huyu kaka kwenye picha heheheh...
Nimeamua kuwapa hi,na kusema nawakubali sana huku ni zaidi ya magroup ya watisapu na pia twitter
Siku inakuwaga fupi pindi niingiapo JF (blessed to you all).
nambie kitu usichopenda kwangu...
Wabongo bhana yani kila kitu kinacho tokea lazima watakataftia KAMSEMO
mfano yalivyo letwa mabasi ya mwendo kasi , kaliletwa KAMSEMO mwendo kasi , ikawa kila kitu ni mwendo kasi , tuliona...
Boy:- hallow
Dem:- hellow
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious
A. K. A dope girl
Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby...