Serikali imesema itatengeneza daraja kutoka bandari ya dar es salaam hadi visiwa vya unguja na pemba. wamesema wataweka njia panda ya kwenda sehemu mbali mbali za unguja na pemba.
Pia kutakua na...
Za weekend nadhani mpo powa.
Kulikuwa na mangi muuza duka amepanga sehemu sasa gafla akahamia msichana mrembo mwenye kila sifa mtanashati .
Yaanii hipsi kiuno yaani mremboo eti.
Sasa kuna siku...
Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
wala hatumii nguvu, ana full of
option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa
so dark, mi napenda...
mtu anafiwa na mama yake. . .analia kichizi. .
.wengne mpaka wanazimia. . But after few years
next. . .akiulizwa ni siku gani hautokuja
kuisahau....anakwambia nilivo Achana na mpenzi
wangu...
*MTOTO:* mama kwa nn unamuita mdogo angu malaika
*MAMA:* kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika,
kwa nini umeuliza mwanangu?
*MTOTO:* nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa
mama...
Mamboo zenu
Jamaa mmoja alilewa kwenda nyumbani akavua viatu vyake akalala kidogo akamgeukia mke wake akamwambia baby amka tufanye haraka ili niwahi kwenda nyumbani mke wake akamjibu akiwa kaamka...
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza...
Wababe sisi tunajijua huwa hatuna maneno mengi vitendo tu.
Jana nilimtia makofi mtu baada ya kunambia mi nina undugu na joyce kiria ,sipendi ujinga mdogomdogo mimi!
Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa...
Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.
*Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila...
Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa
anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini..
Usikubali
tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa
Kishua, Utamsikia,
"MY MUM IS SO RICH DARR,SHE...
Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa
miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu
ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa
kike, shemeji yangu huyu hupenda kuvaa vinguo
vifupi na vinavyobana,hupenda...
Nataka nitoke Jf, niuze sura
Niseme ninatoka na everhurt
Kitandani kisha na sweety love7 ama Honey Faith
Nilete matata mpaka kwa atoto
Kwenye Majukwaa yote mpaka runinga
Nitangaze kukuvimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.