JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau, siku nikipata mtaji Wa kutengeneza japo pafyumu nzuri yenye marashi mazuri basi nafikiria kuipa jina la Lowasa...Nafikiri nitauza na kulikamata soko vyema[emoji1] ....Nyie munaonaje??
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Mama mmoja mjamzito - ujazito wake ukiwa kama miezi minane hivi - aliingia ndani ya basi na kuketi tayari kuanza safari. Mara akamuona kijana mmoja (umri upatao miaka 20 hivi) anamwangalia sana...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji117]Ukiwa Unafanya MAPENZ Alaf Demu Akiwa Analia Sauti Za Mahaba na Miguno Ya Bashasha Yenye Udambwi Dambwi wa Kusisimua Infact Kunahamasisha sana Tendo Lizidi Kuwa Tamu Maradufu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BREAKING NEWS: '"Mishahara ya watumishi juu'" Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
UTAJUAJE KAMA UMEONEWA? 1. Baada ya kufanya kazi siku 30, unafukuzwa kazi bila mshahara. 2. Ukiwa una download kitu kwenye net, inafika 99% alafu inagoma. 3. Unaingia na kibomu kwenye pepa alafu...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Karibu bomba-dear,nasikia mpaka makete unatua pia. Chadema hawakutaki,ccm tunakufagilia. Tunakuombea uishi miaka mia,wapinzani wakikuona wanazimia. Bomba dear mapinduzi ya usafiri wa anga...
2 Reactions
7 Replies
793 Views
Uzi wa kijinga usio na maana humu JF unawakaribisha yeyote mwenye kujisikia kuongea upuuzi amalizie humu kwenye huu uzi Upuuzi unaweza elimisha jambo fulani. SEMA UPUUZI WOTE HUMU
1 Reactions
25 Replies
2K Views
*PALE NDOA INACHELEWA* Girlfriend: Baby utatoka lini kwa baba yako uhamie kwako? Boifrend: Yesu ana miaka zaidi ya elfu 2 bado anaishi kwa Baba yake mbinguni mimi ni nani nihame kwetu? [emoji23]...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
MAMA: Mwanangu njoo nikufundshe hesabu. MTOTO: Sawa mama. MAMA: Kwa mfano shangazi yako akakupa Maandazi mawili Halafu Akakupa tena Mawili jibu lake litakuwa nini? MTOTO: Asante Shangazi...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni heri uchelewe kuoa uje uoe uzeeni uishi kwa amani kuliko kujifanya unapiga Shortcut unaibuka na hii miguberi ya Wantanshi na Elements, wanajifanya Corporate girls, Wife material, kumbe manyau...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
*Kuna watu wachoyo sijapata kuona*... _Nimepita kwa rafiki yangu nikakuta kabandika maji ya kusongea ugali yanachemka pembeni kuna unga na mwiko ila aliponiona uwezi amin ameyapoza kaenda kuoga_...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Pichani hapo ni bibi kizee anaitwa Emma Martina Luigia Morano kutoka Italy. Ndio mwanamke mzee kuliko wote duniani kwasasa. Amezaliwa mwaka 1899. Kwasasa ana umri wa miaka 116. Je ukiambiwa mpige...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimefurahi sana jana nilikutana na dem mpya kutoka jiji la Makonda, du kila ninapo ongea eti ananiambia kutunza kidoti ni gharama sana maana kinaitaji kuwa maintained, du sasa sisi kwetu icho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu manzi nmekaa naye kwa muda mrefu kidogo, tukisaidiana maisha yaende. kipindi namtongoza nilikua napiga vimlinzi (bia) hatari hatari, ilifika sehemu napiga vimlinzi hadi nalala hukohuko...
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa 'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele hadi mgongoni, shape kama kachorwa na bikari, kamuoa...
17 Reactions
92 Replies
8K Views
Ukikubali kupenda kubali kuumia. Mapenzi na maumivu ni watoto mapacha. Wanapendana, wanaenda pamoja kila mahali na hawaachani. Ni sawa na kufungua akaunti NMB halafu unaogopa foleni. Kama hauko...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Dadek huyu manzi kanchekesha kumoyo leo, hataki niona nikibang kwa social network kama kweli nataka kuwa nae,anadai fb ni source nzur ya michepuko bado et niache pombe...niache ciggarates...damn...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu huchoki....We mwanaume robo saa si tayari unanikomoa?? Nani akukomoe wewe!! We Mwanaume hiyo ndo style gani.... Nani kakufundisha hii mbona...
12 Reactions
135 Replies
10K Views
hii lugha inaninyima fursa nyingi sana, hasa safari zangu za nje.............. Nimesema mimi, usijeleta uchochezi humu Ooooohhooo!!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndege mpya kwishawasili JNIA, zinakuja kwa awamu, mapokezi yalikuwa ya kukata na shoka, "maji kibao" kama vile inazimwa moto, hizo ni mbwembwe na shamra shamra. Sasa kuna jamaa walikuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom