JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtanzamo tu Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mfano wewe ni mwanamume Umepanga safari yako ukaenda umefika sasa kesho yake unawasha simu yako asubuhi unakutana na meseji yake inasema kuanzia leo usinijue nisikujue na sihitaji tena kuona...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako. Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta moja kwa ajili ya...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
za mida waungwana. samahani hivi nini lengo la kuwashwa muziki/ luninga ndani ya mabasi au bar/ hotel/ grocery? vitu hivyo vinawashwa kwa ajili ya wahudumu au wateja. mara nyingi utakuta...
0 Reactions
4 Replies
675 Views
Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo. Mdada akamuuliza...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Anzisha jambo lolote wengine wafate ,litakapoishia ,anaanzisha mwingine
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Ukiona Msichana anaongea hivi au kila siku anajifanya kukushtakia ''Baby kuna mkaka ofisini ananisumbua kweli sijui kapata wapi namba yangu analeta zawadi mara anataka kunitoa lunch...Ananiudhi...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Siku moja dereva wa baba mtakatifu walitoka kwenda kufanya shoping!! Walipofika njiani papa akamwambia dereva!! Lete niendeshe mimi!!yaani Papa ndo aendeshe mwenyewe!! Walipofika mbele kidogo...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
*_Treni ya mwakyembe [emoji588] ilivyoanza kazi tulipanda bure siku za mwanzo Daraja [emoji616]nalo tulipita bure sijasahau mwendo kasi nao tulipanda bure sijui hii ndege mpya tutapewa ofa? Kama...
1 Reactions
1 Replies
710 Views
kila picha mwanamke aki update unacoment Wooow Wooow kila picha Wooow basi jua wesi binadamu bali ni mbwa unabweka [emoji23]
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu ! mim mwenzenu sipendi kumuona mwanaume anatafuna bublish[emoji19][emoji19]yaan nikimuona nasikia kutapika Bas hapa niko kwenye foleni kaja mkaka anaonekana smart lakin anatafuna...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
[emoji121] WAKUU, HIVI HIZI TEKNIKI HAWA NDUGU ZETU WANAWAKE WANAZITOA WAPI?? ------------------ JANA NIME_CHILL NAPIGA STORI NA WANA KIJIWENI, HUKU TUKIJIFAJIRI DHIDI YA HIZI CHANGAMOTO ZA...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu inakuwaje dem unapania kumfungukia kabla hujamwanbia siku anakupa apoitment ya kukutembelea geto afu unamlenga siku unayojua utakuwepo mwenyewe geto/hom mara anafanya kweli anakuja kashine...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
STUNTER :mambo cute? Girl: poa tu.. STUNTER: nimependa picha zako unavutia.. Girl:thanks my dear.. STUNTER: nimevutiwa na wewe naomba tuwasiliane.. Girl:usijali tupo pamoja.. STUNTER...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
[emoji121] WAKUU, BILA SHAKA HIKI KIPENGELE CHA HALI NGUMU YA MAISHA KINAFAHAMIKA VEMA NCHINI KOTE! SASA HUKU KITAA KUNA MTOTO MZURI NI NOMA SANAAAAAAA!!! MTOTO MWEUPEEEEEEE, ANA SURA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamu kwenu wana jamii pande hizi .... Picha ilo hapo chini yaonyesha kazi ya "house girl" ..... Swali .... Je ni kosa lake (housegirl) kutokufahamu afanye nini ...... Ama ni kosa la bosi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kaa ukijua zaidi ya watu 2580723500 duniani ni wavivu,na wewe ni mmoja kati yao kwa sababu hujajisumbua hata kusoma hiyo idadi ya wavivu wenzako....UONGO?
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa, na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom