Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?
Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni...
kibaya zaid ni pale ambapo mtu kajikunja kuandaa post aweke humu jf hasa kwenye hili jukwaa akijua watu watacheka na kureply lakini wapi wajanja wanatoa view kibao, reply 0...nahisi hata hii imebuma
Nianze kumpa 100% aliebuni vazi la dela maana linasitiri mademu wenye umbo la karoti,
Pili nimsifu kwa kufanya kasi ya shingo yangu kuzunguka iongezeke ,maana akipita demu kavaa dela lazima...
Kuna Jf members ambao kwa namna moja ama nyingine walilipamba sana jukwaa hili la MMU kipindi fulani kwa michango yao. Watu hao binafsi walikua wananifurahisha sana nafsi yangu kila mmoja kwa...
Kulikuwa na m'mbwa wetu mkali sana.....alikuwa mkali kama simba hadi muda mwingine anawachenjia wanakaya maana alikuwa hataki mchezo.........sasa mshua akaamua yule mbwa ahasiwe ili apunguze...
Inaniuma sana nikiona mtu
Haeshimu wazazi wake!
Inaniuma sana nikiona watoto
Wadogo wa kike wakijiingiza
Katika mapenzi bado wadogo!
Inaniuma sana nikiona binadam
Wenzangu wanapata mlo 1 tu
Kwa...
Hivi kwanini mwalimu nyerere hakufanya muungano wa tanzania na rwanda ili hawa mabinti wazuri wa kinyarwanda niwe nawapata kirahisiiiii
Mie namlaumu sanaaaa huyu mzeee     
Mwanaume...baby unanipenda?
Mwanamke/Baby...tena sana swty wangu.
Mwanaume...niweke basi kwenye profile picha yako ya watsaaps/Fb.
Mwanamke...wala usihofu swty wangu sema na lingine...
1. Nywele kama za Sky Eclat
2. Kasura kazuri kama Heaven on Earth
3. Tabasamu kama la rubby
4. Lips kama za venossah
5. Kifua kama cha shunie
6. mahaba kama ya Kasinde
7. Nye.gee kama za...
Siku za wikiend nafurahi sana kwenda kuruka na maji ,maana ni hobbie yangu,napenda sana kuogolea, ila natembeleaga jagwani,mbalamwezi na coco mara chache sana.
Juzi nikasikia wale vijana wa beach...
DOGO: Eti mama malaika huwa wanapaa?
MAMA: Ndio malaika wanapaa, kwanini unauliza?
DOGO:Baba alimuita dada Malaika, dada atapaa?
MAMA: Ndio atapaa leoleo kurudi kijijini kwao...
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
Hivi nyie akina dada wa humu Jf mbona mna ubaguzi sana kuliko sisi wanaume?..Nasema hvyo kutokana na tabia yenu ya kujitenga nasi pindi tunapohitaji msaada kutoka kwenu..mfano hai ni katika...
MJAMZITO alikwenda Hospital akakutana na Daktari aliyegoma. Mambo yakawa hivi:
Mjamzito: Dokta Mtoto hachezi Tumboni tangu juzi nifanyeje?
Daktari: Meza Kitenesi na Filimbi,ukiona bado hachezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.