HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema
" SIMAMA"
Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo...
Kuna mzee alikuwa anapenda sana chabo!
Yupo tayari kulipa hata hela ale chabo tu.
Siku moja kaenda kuchungulia baada ya kuskia sauti ya kike ikilia
Jamaa akashtuka analiwa chabo
Akasogea na spoku...
Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona. Dr. Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi mishahara umezuia isipande Mungu anakuona.
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu...
Kule pakistan,kuna kabila moja ambapo utamaduni wake ni kwamba ukitaka kuoa mke wa pili sharti ujaribiwe kama unaweza ku''handle'' wake wawili.
zoezi litolewalo ni kubeba jiwe kama hilo lenye kilo...
kilichopo hapa ni kumuelezea mtu kutokana na avatar alionayo. sema avatar yake inaonesha ni mtu wa aina gani welcome
mimi ndo ntakua wakwanza kuelezewa........your welcome
Katika kipindi hiki cha ujio wa simu za kupangusa(Ina maana smart phones). Mitandao ya kijamii imeshika nafasi kubwa sana kusambaza habari.
Sio kama zamani tulikuwa tunategemea redio,magazeti na...
Wakuu,kwema?
huwa napenda sana nikiwa nasafiri kwenye bus,nikae siti moja na mdada afu huyo mdada akiwa anasinzia awe ananilalia.yan ntatataman safari isiishe.
Miaka michache nyuma,Wanaume Tulikuwa
Tunalalamika sana vibomu vya kuombwa
vocha,
Vocha ilikuwa gharama inayokera sana na
kuboa maana kila siku iendayo kwa Mungu ni vocha..
Kumbe bora ingebakia...
Kwa walevi wenzangu wa kahawa...kwa kweli nateseka sana kisaikolojia bila sababu.
1.Hivi kwa nn vikombe vya kahawa vidogo namna hii
2.Na je kwa nn vikombe havina mikono
3.kwani muuza kahawa lazima...
Naomba tujadili hili wadau, napenda zaidi comment zitoke kwa wanawake. Limekuwepo suala la wanaume kutojiamini kwa kuwa na uume mdogo, je wanawake mnasemaje, mnapenda uume wa aina gani hasa, uume...
Mwalimu Mgeni alichora moyo ubaoni hata hivyo kwa kuwa alikuwa sio mchoraji sana mchoro ulionekana ovyo alipomaliza akaanza kuwauliza wanafunzi:
MWALIMU,
Nani anajua nimechora nn ubaoni...
Wanaume wengine wabishi eti hakuna uchawi,
hebu chukua karatasi jumlisha fedha zote
ulizotumia kwa michepuko, halafu jumlisha hela
ulizompelekea mama yako mzazi, linganisha,
huoni kuwa ulilogwa wewe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.