*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*.
Hapo...
Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda...
_*Pesa noma sana*_
Jamaa alikua anaoga bafuni na mke wake, Mara wakasikia sauti ya
mtu ikibisha hodi,, mke akajifuta maji harakahara na kujifunga
kanga kisha kwenda kuangalia ni nani anaebisha...
Kuna Hali ya mkanganyiko wa kutotaka kufikiri vizuri au kuchambua!! TENA wakati mwingine ni kujitoa tu akili ilihali ukweli unajulikana na huu upo dunia kote!!
Haya ni MAMBO YANAYODHIHIRISHA HILO...
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???
Basi leo...
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Kuna maneno na vifupisho vingi vinasumbua baadhi ya watu kujua maana zao. Kupitia thread hii, weka neno lolote linalokusumbua utasaidiwa kujua maana yake.
Aisee kwakweli hawa ndugu zetu warangi wameukimbia kabisa mji wao wa Kondoa na wamekuja kujazana Arusha katika eneo la Ngarenaro, Eneo hili la ngarenaro limejaa warangi na ukifika Ngarenaro leo...
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka...
JAMAA ;- Boss umeniita???
BOSS ;- Nenda chooni kapige PUNYETO,na kuna CAMERA nakuona kama unapiga au unazingua...
JAMAA AKAENDA DAKIKA KUMI AKARUDI...
BOSS ;- nenda kapige tena
JAMAA AKAENDA BAADA...
WANAUME NA AKILI ZA MWENDO KASI.
Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake...
Kuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na
Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto
wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari
kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na
akili za ubuyu unaona...
NASHANGAA.
Ukimwona Mtu Anaendesha Gari Zuri Unasema "1 Day YES,"
Lakin Ukimwona Mtu Kalala Ndani Ya Jeneza Husemi "1 Day YES". WHY So Guys???!!.
Kufanikiwa Sio Lazima Ila Kufa Ni Lazima...
BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME...
I mistakenly sent someone
TSh,100,000 through M-pesa..in
fact should I say I sent Tsh.100,000 to
a wrong number. After realizing
this, I calmed down and sent
him/her this text message:
"Hello...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.