Umelipia kodi ya nyumba 3,000,000 kwa M-pesa mara unapokea ujumbe mfupi unaokwambia
Ahsante kwa kujiunga na unlimited bando umepokea dk 320000 sms 100000 na GB 25000 utazitumia mpaka 26/08/2017.
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.
Basi Mwelevu akaingia na maswali yakawa...
Hivi Wahaya (Bukoba) mmemkosea nini Mungu ati?
1978- UKIMWI ukaingia TZ kupitia kwenu umeua watu wa kutosha,
1978-vita na Uganda kwenu watu wakafa
1996- MV bukoba ikazama ikaua watu 508,
2016-...
Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card...
Sababu kuu ya kutokewa na lililowatokeeni majuzi huko kwenu Kagera ni baada ya " vurugu " zenu kubwa zinazojulikana tokea enzi na enzi mlizozifanya usiku kucha wakati wa Tamasha la Fiesta eneo...
Jamani mpo? Kuna upelelezi unaendelea kwenye magroup Kuweni makini, Nimeona defender mbili zimepita kwenye forums mbili hapo nyuma hapo![emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka...
Ni Mara nyingi nimeskia kuwa zipo ID ambazo zinapewa pesa (7000) Kwa siku malengo ni Kwa ajili ya kuanzisha propaganda jukwaa LA siasa au katika jitihada za uenezi kisiasa . Lakini mimi binafsi...
Je wajua?!
Hata uwe na umri mrefu vipi huwezi kufikia gorofa!
Hata simba jike awe mkali vipi atapandwa tu!
Hata uwe mkubwa vipi huwezi kulamba kiwiko cha mkono wako!
Hata uweze kubana pumzi...
Tuzikumbe nyimbo za zamani.
kidogo nagawana na wenzangu-Qchief.
bush party-(hawa jamaa nimewasahau)
mugambo-juma nature
anita-matonya
Taja nyimbo zingine za kitambo unazozijua
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha uvumilivu sana, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.