JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao natongozwa na .......................... harafu sio ...
5 Reactions
123 Replies
14K Views
Jumamosi nilienda KCB branch moja Posta na kuchukua 4.5M. Yule teller akanipa zile bundles za buku tanotano. Sikumtilia shaka kutaka azipitishe kwenye mashine maana alionekana kama "muungwana na...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
*Babu*: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera *Mjukuu*:Niambie babu *Babu*:Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui...
1 Reactions
0 Replies
596 Views
naona hapa mshahara umepatwa maana matumiz ni mengi
1 Reactions
8 Replies
2K Views
tetemeko kagera na Baba Rwegazira ba Koku:Asante ndugu mtangazaji kwa this very good opportunity...infact ni jambo la kusikitusha sana.It was around saa nane na nusu hivi...tukiwa tunaangalia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wenye tabia ya kuchungulia wadada embu tukumbushie. Kwa kweli niulikua napenda sana huu mchezo nakumbuka shule ya msingi tukiwa mstarini tulikua tutegesha kioo chini halaf tunaanza...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Niepushe na kuandika thread za kitoto humu JF maana kila nachoandika naambiwa na wakongwe ni utoto
1 Reactions
1 Replies
815 Views
*Wahaya bana kwa mbwembwe......khaa!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipindupindu n.k*
2 Reactions
1 Replies
989 Views
Vijana inabidi tubadilike aisee
3 Reactions
7 Replies
2K Views
katika maisha ya shule hasa o level kuna swala la kuandika notes binafsi mimi kwenye notes utaniua kwasababu sipendi plus uvivu je na wewe ikoje kwako hii na ni somo lipi hasa.
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Emu taja neno la kinafiki uliwahi kuambiwa Mimi:Yani we ni mwembamba hadi reli ikasome(wakati mi ni kibonge kinoma)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli hainaga ushemeji tunakulaaaga..
1 Reactions
3 Replies
2K Views
nahisi itafika kipindi hali itakua hivi kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Eti wale wanawake wenye maneno mengi mdomoni na mapepe kwa sana, kitandani huwa ni div 5?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana Na Wagoni Kunatishwa Kwa Wake Za Watu Vijana Saivi Wamekuja Na Mbinu Mpya...Unatia Kwanza Kidole Kikinasa Unakata Na Kusepa
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Hii ndo 4G na 3G....
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Mi najianzia mwenyewe maana mi ndie wa juu ,najiombea tarehe mosi october niwepo kwenye UKUTA Haya tuanze sasa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom