Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu
mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu
kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua
simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu,
Inbox- Empty, Sent Items-...
Wikiend hiyooo....inaanza njooni tujue aina za kuku ,kunae kuku wa aina nyingi
Mfano: Kuku kishingo
Kuku kipanki na
Kuchiro
Tiririka kuku wengine unaowajua......,..
Mambo vipi wanangu?
Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu hapa jukwaani),
Wakongwe wanataka...
mwenyew nampenda sana huyu mdada kutoka THT ni mzuri sana ase black beauty ana sauti nzito nzuri kila siku namskiza jamani nyimbo zake sio siri nimefall in love kwake nampenda sana nataman aje...
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani...
Habari. wana jamvi ?? Leo nimewaletea uzi wa kipekee kabisa , jinsi. ya kushiriki uzi huu unatakiwa kuandika neno. moja tu au hata kwa kutuma picha kuhusu. tukio lolote...
wafanyakazi wengi hasa hasa wanaume wanasema mara ooh dodoma hakuna miundombinu, mara kuna vumbi, mara mji ni mdogo, mara eti hakuna bajeti ya kuhamia dodoma...hizo ni gereshat tu...sababu kuu ni...
Kuna vitu vina wingi wake ila kuvitaja katika wingi inaleta porobulemu! Mfano hapo chini.
1.chips
2.chupi
3.kuku
4.soda
5.papuchi
6.samaki.
Kama unajua maneno ya kuwakilisha kwa wingi hapo juu...
Habari wakuu,
Hivi hili neno Kilaza lilizoeleka kutumika vizuri tu kumuwakilisha mtu asiye na maarifa fulani huku akijifanya maarifa hayo anayo. Kinachonishangaza neno hili limekuwa likitumika...
Wakati mwingine Wakinadada huwa mna maswali
ya kushangaza sana aisee.Hebu fikiria uko kwenye
mizunguko unakutana na mdada unamzimikia kweli
na unatamani muwe marafiki msiishie tu kuonana
siku...
WAKUU
KAMA KUNA MWENYE MIWANI NAOMBA ANISAIDIE KUNISOMEA HIYO NAMBA YA SIMU YA KWENYE HAYO MAELEZO YALIYOZUNGUSHIWA ALAMA NYEKUNDU PICHANI!
NAONA KAMA MIWANI YANGU INASTAKI KWENYE HICHO...
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke...
Katika kutimiza majukumu kadha wa kadha nilipita wizara flani, sasa hapa nimekutana na officer wa hiyo ambae pia ni mshikaji wangu kitambo sana.
Huyu jamaa ni mate wangu wa chuo enzi zile tulikua...
Wote tumesikia kila mtu anadaiwa milioni kwenye deni la taifa.
Wajuzi wa mambo nilikuwa nataka kujua kama kuna utaratibu wowote kwa mtu binafsi anayetaka kulipa portion yake ya deni la taifa...
katika hospital moja ya vichaa, Daktari aliamua kupima niwangapi wamepona, katika chumba walichofungiwa alichora alama ya mlango alafu akawaambia ebu tokeni nje wOte wakawa wanajigonga pale...
Jaman poleni na majukumu
Ila Mimi naomba msada wenu kama kuna mtu anaweza kunipa connection jinsi ya kupata mwanamke wakizungu bhasi ani saidie ili nami nikajenge heshima umakondeni
Nawasilosha
Jamani Leo nimefurahi Sana wana JF maana baba mwenye nyumba (landlord) amenishushia kodi ya pango . Ukweli huyu mtu niliyepanga nyumba kwake niseme ni muungwana Sana zaidi ya nilivyodhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.