JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Daaaaah juzi kati bana nilipata dharura nikaibuka jijini DSM na nikafikia kwa jamaa angu tuliesoma wote miaka ya nyuma. sasa kwakuwa safari ilikuwa ya ghafla nilienda kwa jamaa bila ya accesories...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamaa alikuwa amelala na mkewe akasikia sauti ya paka akilia kwa uchungu nje ya dirisha lake, akatoka nje, kwa maajabu akamkuta panya anambaka paka. Akaangalia mpaka mwisho hakuamini macho yake...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
```...ingekuwa vp dunia ingeongozwa na mwanamke kungekuwa hakuna vita, ungesikia tu.. Marekani aiongei na urusi, mara rwanda yainunia burundi, boko haramu yawapelekea umbea alshabaab, ethiopia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kuna uteja/ughaibu mwingine wa ajabu wangu huu kupatwa na alostol ya kuingia jf kila mara naona sasa umenizidia msaada, natamani niache ila nashindwa...! Addiction mbaya sana hii, na nyie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
*Tanzania saa hiv kujuana kumezidi yani hata ukienda msiban bila Connection huli msosi* MUNGU anawaona
1 Reactions
2 Replies
760 Views
Yaani serikali hii imebana mpaka bei za vyama vya upinzani zimeshuka kinoma! Hivi leo bei ya chadema ni kushika UKUTA (yaani wanataka kuirudisha kwa wananchi, ilhali wananchi wanawakataa, ila...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hata kwenye ugumu wa maisha, kwani binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha. Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajiita Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika meseji 1 unatuma...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Mpendwa mke wangu,bado Niko ofisini na jua bado limepatwa mpaka sasahivi, kuna Giza Nene sana hata sisi wenyewe hapa ofisini hatuonani na wala hatuwezi hata kuzunguka ndani ya ofisi kwani Giza ni...
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Nikiwa Form Four mbele ya wanafunzi wa kike na wakiume kadhaa, nilijaribu kumtongoza dada fulani hivi mbele za watu akapayuka, NIMEKWAMBIA NENDA KATOE KWANZA HILO GOVI LAKO, NDO UJE UNITONGOZE...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ngoja nianze na kuwapa hongera na pole ya purukushani za siku ya leo maana hii siku ilikua na mambo mengi sana.mara kupatwa kwa jua mara JWTZ wanafanya usafi na wale ambao walikua mbali na vyombo...
4 Reactions
91 Replies
11K Views
Hivi inakuwaje unaanza uhusiano na mtu halafu unakuwa unamcompare na Ex wako? Mara ooh ex wangu hakuwa analala chali kama wewe, mara ex wangu alikuwa hachat kama wewe, alikuwa ananiletea maua we...
3 Reactions
4 Replies
589 Views
Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja, aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona heri ninyamaze...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
1.The Bishop is infallible 2.The general can not make mistakes if you think the general has made a mistake refer to rule number one 3.If u can't defeat them join them Ni baadhi ya misemo ya...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Mimi jamani sio mwanzilishi wa haya maneno, nime copy na ku paste..... Zijue tabia za wenye magari: 1. Wenye GX100 na Noah - wanaongoza kwa fujo barabarani, wanapenda kuingizia watu na gx100...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Mwalimu mgeni alichora moyo ubaon kwa vile hakuwa mchoraj mzuur mchoro ulionekana hovyo akawageukia wanafunzi akawaulza MWALIMU nani anajua nimechora nn!?! MWANAFUNZ 1: akasema umechora matako...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UNAJIFUNZA NINI HAPA?? ```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike. Mme akawapigia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani, jamani... habari za weekend..!! Yamenikuta, kuna mrembo mmoja mkali sanaaa... mweusii, kaumbika boom boom... bang bang, kabang kabang kweli... mweusii, aged 29 hv... i know her kwa miaka...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya nyuzi zinakera kinoma humu JamiiForum hasa anazobandikaga jerrysonkiria na STUNTER kwanza huyu stunter anabandika manyuzi mengi kama ni mod wa JF anakera kinoma na nyuzi zake hazina...
0 Reactions
12 Replies
740 Views
Back
Top Bottom