Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya...
katika hali isiyo tarajiwa polisi jijini humu wamelazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya waandamanaji walokuwa wakiandamana bila kibali na kuzua taharuki katikati ya jiji la Arusha...
Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.
Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu...
HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana...
Dawa ya wale wanaopita kwenye sehemu za starehe na kutaka kuchangiwa pesa kwa ajili ya ujenzi ama ununuzi wa vitu vinavyohusiana na mambo ya kiimani ni kuwaambia tu NIMESHACHANGIA..!
Hawahawa...
Was'hkaji eeeeeeeh!
Juzi kanipigia simu brother mmoja wa wa kitaa cha #tegeta_tanki_bovu,
Ili nikampige twisheni ya kiswahili mdogo wake wa kike wa pale jangwani kwa kipindi cha likizo.
Sasa...
........Kuna Mnyakyusa ameishukuru mno Serikali kwa kupendekeza Mbeya ndio iwe sehemu ya kupatwa kwa Jua.....Lol Wanyakyusa mnaniangusha jamani. Na nyie watu wa TV muwe mnangalia watu wa...
Wasalaam ndugu zangu.
Samahani kwa wale ndugu zangu wanaoishi Arusha naomba wanipe mwongozo ya sehemu yenge mgahawa mzuri wa chakula.
Nataka kujua wanatoa vyakula gani na wanafunga saa ngapi.
Pia...
Ebwana wanaJF Mzuka!
Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan...
Macho ya Wanaume sijui yametengenezwa na
material gani, yana tamaa muda wote utadhani Simba
wa Serengeti ambaye hajala nyama wiki 2, unaweza
kuwa na demu mzuuuuriiii au mke bombaaaaaa, lakini...
Hawa ndo Kiboko yao! Hakuna wazo atakalokupa
ambalo ni la kuingiza hela..yeye kila wazo lake ni la
kupulusa kilichopo bila kujali kitarudije na zikiisha
itakuwaje!Wanatumia ile 'Shauri yake...
Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.