HISTORY EXAM
1.Factors for Ukuta resistance to fail.
a) lack of unity eg CUF and Ukawa
b) strong magu army
c) poor government support
d) lack of military suport
e) Mbowe eats cement money.
f)...
Habari waungwana poleni sana na kazi..
Leo nilimechoropoka ofisin nimekuja hospitali flani ya macho mjini hapa NHC HOUSE kurepair lens za miwani maana macho yangu yanamwaga machozi mfululizo...
Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari
akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe,
naye alikuwa na bwana mbaya zaidi walikuwa
wanaishi ghorofa ya kumi na nne, mdada
mwasherati akamwambia bwana...
Wanaume wa dar hivi mnavyo jiremba na kujipodoa kama dada zenu lengo lenu huwa ni kumtega nani?maana sisi wa mikoani tunawashangaa mapicha yenu mnayosambaza kwenye social media mmejiremba na...
UKUTA ulitangazwa na CHADEMA. Watangazaji wakajipanga kimaandalizi bila ajizi. Wanasiasa,viongozi wa dini,wa kiserikali na walinzi wa amani wakajitokeza na kukataza. Wengine wakafanya mazoezi ya...
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini.
Akaingizaa kidole kwenye njia...
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Naona mko attentive kushuhudia Solar eclipse, UKUTER, miaka 52 na mengine mengi hiyo kesho. Mie akili yangu inawaza CR7 anaanza lini kucheza Maana...
Profesa mmoja alikuwa anafanya utafiti wa kisayansi juu ya nguvu ya chakula dhidi ya ngono. Akaanza kwa kufanya majaribio ya panya. Alimfungia panya dume katika kibanda chake kwa muda bila kumpa...
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"beb nipeleke petrol station niende kunusa...
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime...
Ndani ya Bac litokalo D'SALAAM
kwenda MOROGORO cm ya mdada
mmoja ikaita akapokea kusema Hello
honey niko njiani kuelekea ARUSHA
kwenye msiba nitakupigia nikifika"
mara cm ya mkaka ikaita jamaa...
Wasichana
Hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato za RED GOLD si nzuri
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu...
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
*Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa?
*Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
Teacher -Baba Eliza ana mabinti wanne , Nana , Nene , Nono wamwisho anaitwa.....?
Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!!
Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne...
Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.