JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtu kukulazimisha kwa lugha yake ya mwili ( body language ) umlipie Nauli na ni hasa hasa kwa Mabinti na Wanawake watu wazima kabisa. Mtu amepanda daladala halafu bahati mbaya au sijui nzuri ile...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wanjamii..naombeni msaada wenu,nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu hususani nikiwa ndani ya daladala na baada ya kula,nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio,naombeni msaada..Mimi ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadada wanasukana karibu na chooni hata HUJAMBI KWA RAHA
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
3 Reactions
11 Replies
1K Views
*Stress ni pale unapokuta missed call ya MAN FONGO kwenye simu ya mkeo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] *
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Nakumbuka sana miaka hiyo akina baba waliitisha kikao na kuunda kamati ya mapokezi kwenda Kumpokea pale Uwanja wa ndege. Ndugu wote walikuja dar nyumban kwetu kulijaa sana na pia nyumban kwa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa...
0 Reactions
1 Replies
690 Views
*MWANASHERIA ANALALAMIKA* SICHUKUI TENA KESI YA NDOA Kuna mteja alikuja nikamuandalia documents tukaenda mahakamani, kila nikimpigia hapokei najikuta mwenyewe daily. Kumbe washarudiana na...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Mara dogo katimba ofisini kamkuta mwalimu wa darasa. Dogo: mwalimu mi nataka mnipandishe darasa hila la tatu halinifai. Ticha:basi ngoja niongee na mwalimu mkuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
_*Mfanyakazi: ```Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.```*_ _*Boss: ```Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50 *Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa? *Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake wanajiuza:- MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando ya barabara wanafanya nini?"...
10 Reactions
23 Replies
9K Views
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza: mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaaah! Mungu ni mwema sana. Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!! Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey...
4 Reactions
142 Replies
11K Views
Baba alimuuliza mwanae: Baba:hivi mwanangu nikikuchapaga hasira zako unazimaliziaga wapi? Dogo:nazimaliziaga chooni! Baba:kivipi unamaliziaga chooni? Dogo:naendaga kusugua tundu la choo kwa...
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Mwana na ngaï soki lelo to lobi ngaï na we Liteya nini na koki kopesa yo Batela bomoyi na yo sala ngele Moto nionso na mokili akoluka akoma na bomengo Kasi bomengo ya solo mwana na ngaï...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii. Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni...
4 Reactions
1 Replies
943 Views
Teacher: Can anybody give an example of coincidence'? Little Johnny: Sir, it's a coincidence that my mother and father got married on the same day, same time.!
0 Reactions
0 Replies
803 Views
HARAGE HALIKOMOLEWI… Hapa juzi kati nilisafiri kwenda jiji la Mbeya. Kwa kawaida unaposafiri kwenda mkoa tofauti na unapoishi unatamani kula chakula cha watu wa maeneo yale. Mara nyingi huwa...
13 Reactions
61 Replies
7K Views
BAADA YA AMINA KUHISI TUMBO LINAMUUMA Amina:doctor tumbo linaniuma sana tangu jana Doctor:jana ulikula nini kabla ya tumbo kuanza kuuma? Amina:nilikula pizza,baga,chips kuku na soseji doctor...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom