shhhh...usimwambie mtu?
shilole anamwalimu wake kingereza ila mpaka leo hajajua kutofautisha kati his na her
fiesta ya mwanza alisema anamuheshimu bill nass kwa kingereza akasema "i respect her"...
Demu wako anakutumia Meseji kwa upendo kabisa
wala hutikisiki kumjibu,
au umemjibu meseji mbili ili
kumridhisha aache usumbufu ukamwambia uko
Bize..anatamani aendelee kuchat na wewe mara kwa
mara...
Nawajua Wasichana warembo ambao kwa zaidi ya
Miaka 6 wanakwea daladala kwenda kazini Posta
hadi viti vya daladala vimezoea harufu za nanihii
zao...Phonebook zao zimejaa madereva wa bodaboda
na...
Mume!!yaani mke wangu kila siku hua nakusikia unasema!!tv yangu!!
Nyumba yangu!!
Watoto wangu..
Gari langu!!
Mke! Kimya!!
Mume!!yaani hua nakushangaa sana unapowaambia watu hivyo kila kitu chako...
28th September 2012 .Ijumaa
Ni siku niliyokutana na mtu maarufu sana katika jukwaa hili pendwa la MMU Jamiiforums. Sikufahamu umuhimu wa siku hiyo kwani nilienda pale kwa mualiko wa dada yangu...
najua wakati tukiwa wadogo tulikuwa na fikra mbalimbali ambazo tulipokua tukagundua kua si kweli..hebu tutiririke hapa...tukianza na mimi
1 nikuwa naamini kuwa dunia imesikiliwa na kakamba...
Mmasai : Habari yako mheshimiwa.
Msubi : Oooooooh mzee shikamoo.
Mmasai : Marahaba ila nadhani mimi ndiyo nilipashwa nikuamkie kwani umenitia adabu.
Msubi : Hapana mzee ile ni siasa tu ila upendo...
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..
EBANA SAWA..
Naona mko attentive na pazia la VPL linalo funguliwa leo hii (kwa wale wapenz wa soka la bongo... Lazima Stand United tuchukue ndoo msimu huu)...
Waraka wangu kwa Wanaume wenzangu especially
mnaoishi Dar...Kuweni makini sana na Wanawake wa
mji wa dar.... Wana uongo kuliko Dibaji kwenye
Kamusi ya Ibilisi, wanajua kukuchota akili
balaa...
MWANAYUMBA (Inspired by Chege’s song – Mwanayumba)
Ilikuwa mwaka 2002 Desemba.
Nilikuwa kidato cha Sita katika shule moja ya kutwa huko Moshi mkoani Kilimanjaro. Nakumbuka...
Hivi wadada aliyewadanganya tunataka watu weupe nani?? Yaani mnajipodoa mnakuwa na rangi kama utumbo wa Mbwa, ngozi bayaaaa, miguu ina rangi ya Pepsi, Shingo ina rangi ya mirinda, sura jeupe, lips...
_*Mfanyakazi: ```Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.```*_
_*Boss: ```Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...
Ni hivi wakuu kuna siku niliamka asbh na mapema kuwahi ofsini sasa kabla sijafika nikaputia mgahawani ninapokungwa chai!! Pale nikamwita mhudumu aje kunisikiliza!! Wakati nimetulia kwa pembeni...
Bwana Yesu asifiwe wandugu!!!! Habarin za cku, na poleni kwa majukumu.
Nimerudi tena nimewamic wadau, nilikua naongeza UPAKO.
Ninawapenda na ninawatakia mafanikio,afya,uzima kwa Mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.