JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*"Wanaume Bhana, Tunaushirikiano Sana, Eti Mwenzetu Akija Na Demu Gheto, Wengine Wote Tunaaga Kwa Sababu Mbalimbali ili mtu aliwe"* _Mungu Anatuona.._
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari! Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,, Jamaa: Samahani naomba mtoke nje...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
1 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji445] kuandika nambaa, kuandika nambaa [emoji445] na kuiweka juu ya mlima kilimanjaro [emoji445] isomeke hata nje ya mipaka yetu, ilete na msongo wa mawazo..pale ambapo hakuna msongo[emoj445]...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Kabla sijawapa link naomba kuwapatia Haya Maelezo ambayo yamenistua sana!!. Ki sayansi Haya mabara yaani afrika,Asia n.k yalitokea baada ya dunia kuachana kwa ardhi kugawanyika polepole hadi...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu Habarini za mida hii, Ni matumaini yangu kuwa muwazima na mnaendelea vizuri na mishe za hapa na pale.Sasa Nimeamua rasmi kumpa mwanangu Jina la MWAKUPATWA, ikiwa kama ishara ya kumuunga...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Mapenzi hayana tofauti na Biashara ya Duka,Bahati mbaya tu Mapenzi hayana Kabila. Laiti Mapenzi yangekuwa na Kabila basi Wachaga wangekuwa wanafaidi sana Mapenzi maana wana Discpline sana ya...
1 Reactions
5 Replies
781 Views
Haya nyamazeni sasa! Ikiwa upo unaitikia "Jana" na "Leo" Mifwedha Mfukoni.. "Hayupoooooo! Mihela Waletini.. "Mtoooroo!" Mikwanja Mtaani "Hayupooo!" Mitonyo Yadili "Hayupoooo!" Minoti Benki...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Mke wangu wa kiethopia na kituruki. Mtoto yupo natural wala hatumii mkorogo mda wote sichoki kumuangalia alafu hawekagi yale madude madada wa kibongo wanaekaga usoni, mtoto full natural...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanawake bwana mbona mnakuwa washamba sana kuna Demu mmoja nilikutana naye nikampeleka kwangu tena mwanafunzi kabisa wa Chuo kikuu Wakati tumekaa ni usiku sasa nikawa natoa nguo navua eti...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kupigana na mtu kwa sababu ya Mpenzi wako,either a boy or a girl ni UPUUZI! Anayekupenda hawezi kukufikisha in a state ya wewe kupigana na mtu mwingine kwa ajili yake. Mapenzi sio sawa na...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. *Hii inaitwa muktadha* Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Siku chache zimepita wakati tunaangalia taarifa ya habari kuna mzee mmoja wa CCM aliposikia Magufuli akitishia kubadili noti kwasababu watu wameficha pesa akaangua kicheko cha dharau. Nikamuuliza...
2 Reactions
3 Replies
663 Views
Umepata mpenzi mpya unaona ujikakamue umtoe out. Mnaingia mahala pa nguvu, anakula anakunywa vizuri sana hatimae unafika muda kuondoka, anakwambia kuwa atalazimika kurudi kwao maana baba yake...
1 Reactions
4 Replies
798 Views
To Honey Faith Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu usiokuwa wa tabu.
1 Reactions
116 Replies
5K Views
Ukiambiwa tu I love you nyonyo zinasimama wiki 2 ushavuliwa nguo, Hata Chakula huiva vizuri kikifunikwa...Sasa wewe nani amekwambia ujifunue-funue kuacha Sufuria wazi??Hakiivi kitu hapo... halafu...
12 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari JF....jamani leo am soooo darn happy...hehe nimefurahi sanaaa nilipo log in nkajikuta nimekua jf expert member[emoji39] ...and i was thinking of that just few days ago...nlkua nimechoka kua...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom