Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah!
Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu...
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,
Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto...
Jamani iko hivi kuna binti nasali naye kanisani kwetu, sasa kibinti chenyewe nimekidondokea kabisa sijiwezi from the first time nimekiona.
Mungu si athumani siku moja tukapangwa kufanya kazi ya...
Yamenikuta Jana hata sijui hawa jamaa wameumbwa vipi!!
Ilikuwa hivi kuna baridi kali sana huku sasa Jana nikaamua kwenda club !!
Mimi sio mlevi na uwa situmii pombe Kali uwa natumia maji sana...
Kwa wale Wa kabila la wasukuma naomba kueleweshwa nini maana ya neno wachwegi kwa maana house garl wangu ananipa mashaka nitafurahi zaidi kama nikipata msukuma kutoka sengerema ani pm Nina mengi...
Nimeamua kuuanzisha uzi huu kwa lengo la kuchichea mabadiliko ya tabia miongoni mwetu na hivyo kuzidi kuliboresha Jukwaa hili
Unadhani ni Mwana JF Yupi mwenye majinu au michango ya nyodo sana ama...
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next...
*Girl:* Baby ,Can you speak Italian, German or French??
Because you Like watching their games so attentively.
*Boy:* Yeah I understand Everything...
*Girl:*Mmmmh,can you speak a little so that I...
Huwa najuiliza hivi ni kweli zile takwimu zao ni maoni ya wachangiaji..!! si kwamba ni takwimu mbaya, la, bali huwa nahisi hakuna watu wanaofuatilia kipima joto cha kila siku na kujibu zile NDIO...
Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FLEESTYLE hawaonyeshi kitu chochote?? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji14]
Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika.
Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa...
leo wakati nikiwa na washkaji tunapiga stori za hapa na pale, kuna jamaa akawa anaimba wimbo wa profesa j na sholo mwamba (kazi kazi) sasa kwenye mstari 'mama kanituma nikanunue kuku wa kiume'...
Kwa sie wa Daslaam tumekuwa tunakerwa sana na tabia ya vijana wa mikoani (vijijini),wanapofika Dar, badala ya kuwa na mambo yanayoendana na jinsia yao, wao ukimbilia kuiga tabia za upande wa...
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.