JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alikuwa na bifu la hatari na jirani yake,basi siku moja akatokewa na Jini likamwambia,nimejisikia kukupa zawadi!Chagua kitu chochote nami nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inawezekana mwalimu wako uliyempenda sana shule ya msingi,O-level au high school yupo humu JF. Hebu jaribu kuelezea wasifu wake,mwonekano n.k,labda unaweza kuwasiliana naye tena kama mlipotezana...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ungewasikia Wanyakyusa wakisema; Kwa kweli tunaipongeza sana serikali kwa kuichagua Mbeya kuwa sehemu ya kupatwa na tetemeko la nchi. Tumeona juhudi zao, na tunaomba sasa,..wasiishie hapo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu wangu wa primary alikuwa ananambia lala hapo ananichapa matakoni,huku akisema sikuchapi wewe nachapa ujinga wako. Bhasi akaniaminisha na mpaka leo najua ujinga upo matakoni, Sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hao mnawachukuliaje wazoefu
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Upo hivi; hutajua kwa nini wanagoma
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Gudume 2. Nyani ngabu 3. Sodoku 4. Kokoteo 5. Nyapu (kwa watoto wa kike) 6. Ugoko 7. Kinyaa 8. Wakusoma 9. Tutani 10. Mgema Endelea nawe ongezea majina uliyoyaona humu JAMII FORUM Rais...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari up town fellas n most of all my fellow Gentlemen Hayawi hayawi ndio yamekua, leo ndio siku ambayo binafsi niriisubiri na kuandalia muda wa kutosha kwa kuakikisha namaliza vimeo vya...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Unajua kwamba tarehe 10september mwaka.....nilizaliwa na mama angu mpendwa aitwae Scolastica? Bhasi nakujuza ni birthday yangu. HAPPY BIRTHDAY TO ME
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Uh
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE.... Wanakuwaga wapole sana aisee.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
2 Replies
852 Views
Long story short,baada ya kufika kwenye mlango wa hizi benki moja za kisasa nikawa natumia nguvu nyingi sana kufungua mlango,kumbe nilivyokuwa nafanya sivyo ,yaani unatakiwa ukikaribia mlango wewe...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Ayaa... Warning strictly above 18 only..!! Kama bado a boy or a girl kaa mbali na huu uzi.. Churaaa.. churaaa huyooo churaaa.. jamaniii churaaa mamaaaaa churaa huyooo huyooo ananesanesaa...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Baada ya kufanya uchunguzi wakina na kugundua kwamba mpenzi wangu anamichepuko mingi tena ya kutisha niliamua kufanya haya:- 1-kuweka vocha simu yangu 2-kumpigia na kumpa makavu yake 3-kumtamkia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati. Lakini siku hizi muda pekee ambao unaweza kuzoeana na dingi ni pale...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*Unbelievable* *Today's date 9/9/2016* *Date —9* *Month —9* *Year 2+0+1+6= 9* *Total....27* *2+7 = 9.*
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Wakuu, (Huu waweza kuwa ni mwendelezo) Katika maisha tunakuwa ndoto na malengo ya kuwa tukifikia UMRI/kipindi fulani tuwanie fani/taaluma/kazi fulani. Ndoto hizi huwepo hasa tukiwa wadogo au...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Wasalaaam! kwanza niombe Msamaha kwa Mola wangu "astghafirullah,astaghafirullah,astaghafirullah" mola wangu nisamehe... Ndugu zangu Ujana umenivunjia Heshima, Jana Wakati wa Adhuhuri nilipata...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom