JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau naombeni msaada kwa anayefahamu dawa ya tego liwe la kunatiana au lolote lile.
0 Reactions
64 Replies
14K Views
...interesting
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Serikali imesema itatengeneza daraja kutoka bandari ya dar es salaam hadi visiwa vya unguja na pemba. wamesema wataweka njia panda ya kwenda sehemu mbali mbali za unguja na pemba. Pia kutakua na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Za weekend nadhani mpo powa. Kulikuwa na mangi muuza duka amepanga sehemu sasa gafla akahamia msichana mrembo mwenye kila sifa mtanashati . Yaanii hipsi kiuno yaani mremboo eti. Sasa kuna siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa wala hatumii nguvu, ana full of option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo: 1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa so dark, mi napenda...
21 Reactions
172 Replies
14K Views
mtu anafiwa na mama yake. . .analia kichizi. . .wengne mpaka wanazimia. . But after few years next. . .akiulizwa ni siku gani hautokuja kuisahau....anakwambia nilivo Achana na mpenzi wangu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
*MTOTO:* mama kwa nn unamuita mdogo angu malaika *MAMA:* kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika, kwa nini umeuliza mwanangu? *MTOTO:* nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa mama...
2 Reactions
0 Replies
852 Views
Mjini wanakula Samaki na ndizi / ugali ... Vijijini wanakula ndizi / ugali kwa samaki Umenielewa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamboo zenu Jamaa mmoja alilewa kwenda nyumbani akavua viatu vyake akalala kidogo akamgeukia mke wake akamwambia baby amka tufanye haraka ili niwahi kwenda nyumbani mke wake akamjibu akiwa kaamka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye kijiji chetu akifa Mchungaji tunasali usiku kucha, akifa mlevi tunakunywa usiku kucha. Jana kafa changudoa, tunangoja wazee waseme tunafanyaje.......
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza...
5 Reactions
104 Replies
8K Views
Wababe sisi tunajijua huwa hatuna maneno mengi vitendo tu. Jana nilimtia makofi mtu baada ya kunambia mi nina undugu na joyce kiria ,sipendi ujinga mdogomdogo mimi!
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani. *Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji.... Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku... Shingapi??? Tuma 30,000...
15 Reactions
81 Replies
5K Views
Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini.. Usikubali tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa Kishua, Utamsikia, "MY MUM IS SO RICH DARR,SHE...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kiherehere noma! Jamaa kaenda ukweni kakaa nje barazani akaona kuku kakamatwa, akaropoka; "msiweke mchuzi, akaangwe tu". Mama mkwe akajibu; "Huyu kuku anaatamia baba, wala hachinjwi. Amekamatwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa kike, shemeji yangu huyu hupenda kuvaa vinguo vifupi na vinavyobana,hupenda...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nataka nitoke Jf, niuze sura Niseme ninatoka na everhurt Kitandani kisha na sweety love7 ama Honey Faith Nilete matata mpaka kwa atoto Kwenye Majukwaa yote mpaka runinga Nitangaze kukuvimba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…