Wadau, siku nikipata mtaji Wa kutengeneza japo pafyumu nzuri yenye marashi mazuri basi nafikiria kuipa jina la Lowasa...Nafikiri nitauza na kulikamata soko vyema[emoji1] ....Nyie munaonaje??
Mama mmoja mjamzito - ujazito wake ukiwa kama miezi minane hivi - aliingia ndani ya basi na kuketi tayari kuanza safari. Mara akamuona kijana mmoja (umri upatao miaka 20 hivi) anamwangalia sana...
[emoji117]Ukiwa Unafanya MAPENZ Alaf Demu Akiwa Analia Sauti Za Mahaba na Miguno Ya Bashasha Yenye Udambwi Dambwi wa Kusisimua Infact Kunahamasisha sana Tendo Lizidi Kuwa Tamu Maradufu...
BREAKING NEWS:
'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya...
UTAJUAJE KAMA UMEONEWA?
1. Baada ya kufanya kazi siku 30, unafukuzwa
kazi bila mshahara.
2. Ukiwa una download kitu kwenye net, inafika
99% alafu inagoma.
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa alafu...
Karibu bomba-dear,nasikia mpaka makete unatua pia.
Chadema hawakutaki,ccm tunakufagilia.
Tunakuombea uishi miaka mia,wapinzani wakikuona wanazimia.
Bomba dear mapinduzi ya usafiri wa anga...
Uzi wa kijinga usio na maana humu JF unawakaribisha yeyote mwenye kujisikia kuongea upuuzi amalizie humu kwenye huu uzi
Upuuzi unaweza elimisha jambo fulani.
SEMA UPUUZI WOTE HUMU
*PALE NDOA INACHELEWA*
Girlfriend: Baby utatoka lini kwa baba yako
uhamie kwako?
Boifrend: Yesu ana miaka zaidi ya elfu 2
bado anaishi kwa Baba yake mbinguni mimi
ni nani nihame kwetu?
[emoji23]...
MAMA: Mwanangu njoo nikufundshe hesabu.
MTOTO: Sawa mama.
MAMA: Kwa mfano shangazi yako
akakupa Maandazi mawili Halafu
Akakupa tena Mawili jibu lake litakuwa nini?
MTOTO: Asante Shangazi...
Ni heri uchelewe kuoa uje uoe uzeeni uishi kwa amani kuliko kujifanya unapiga Shortcut unaibuka na hii miguberi ya Wantanshi na Elements, wanajifanya Corporate girls, Wife material, kumbe manyau...
*Kuna watu wachoyo sijapata kuona*...
_Nimepita kwa rafiki yangu nikakuta kabandika maji ya kusongea ugali yanachemka pembeni kuna unga na mwiko ila aliponiona uwezi amin ameyapoza kaenda kuoga_...
Pichani hapo ni bibi kizee anaitwa Emma Martina Luigia Morano kutoka Italy. Ndio mwanamke mzee kuliko wote duniani kwasasa. Amezaliwa mwaka 1899.
Kwasasa ana umri wa miaka 116. Je ukiambiwa mpige...
Nimefurahi sana jana nilikutana na dem mpya kutoka jiji la Makonda, du kila ninapo ongea eti ananiambia kutunza kidoti ni gharama sana maana kinaitaji kuwa maintained, du sasa sisi kwetu icho...
Huyu manzi nmekaa naye kwa muda mrefu kidogo, tukisaidiana maisha yaende. kipindi namtongoza nilikua napiga vimlinzi (bia) hatari hatari, ilifika sehemu napiga vimlinzi hadi nalala hukohuko...
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa...
Ukikubali kupenda kubali kuumia. Mapenzi na maumivu ni watoto mapacha. Wanapendana, wanaenda pamoja kila mahali na hawaachani.
Ni sawa na kufungua akaunti NMB halafu unaogopa foleni. Kama hauko...
Dadek huyu manzi kanchekesha kumoyo leo, hataki niona nikibang kwa social network kama kweli nataka kuwa nae,anadai fb ni source nzur ya michepuko
bado et niache pombe...niache ciggarates...damn...
Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu
huchoki....We mwanaume robo saa si tayari
unanikomoa?? Nani akukomoe wewe!! We
Mwanaume hiyo ndo style gani.... Nani kakufundisha
hii mbona...
Ndege mpya kwishawasili JNIA, zinakuja kwa awamu, mapokezi yalikuwa ya kukata na shoka, "maji kibao" kama vile inazimwa moto, hizo ni mbwembwe na shamra shamra.
Sasa kuna jamaa walikuwa...