JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Asante wana jamvi mimi ni kijana mwenye upeo mkubwa wa kufikiri katika mambo mbali mbali ni mtu nilio jaliwa sana na kupewa akili za kutosha katika kupanga mipango na ku boresha mawazo na fikra za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waliniambia njia rahisi ya kumpata nick minaji nijiunge facebook nikajiunga nikatuma friend Request kilichonishangaza mda huo huo akaacept nikajiona mimi ndio mimi.. Nikamfuata inbox nikamwambia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
....Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji121] Wakuu Leo nimegundua kumbe ile kozi ya *sp_319 (shato_pori)* niliyoipiga kwa vitendo kutoka mabibo_hostel hadi mlimani_main_campus nikiwa chuoni ina umuhimu mkubwa sana Hasa katika...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hashima zenu!! Hivi wakuu sisi wanaume hua tuna nini!! Yaani nina marafiki na hua same timu hia najichanganya sana vijiweni kama nakuwa sijaenda kazini sasa katika kupiga stori za hapa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja aliekuwa peku na hajavaa nguo yoyote( yaani alikuwa uchi) alikuwa amesimama kituoni!!! Abiria!!konda hii daladala inaenda wapi?? Konda posta!! Abiria...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Unamaliza kufanya mapenzi na demu ghetto kwako anakuomba chupi yake iliyoanguka upande wa pili wa kitanda. Unaangalia unaona chupi mbili za rangi tofauti, na chupi yake huikumbuki. [emoji87]...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
```Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo. Mdada akamuuliza...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Nani kasema kiswahili rahisi???? Hebu jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia NDIO au HAPANA 1)............. mimi ni chizi 2)............. mimi ni bwege 3)............mimi sina akili
1 Reactions
1 Replies
1K Views
NI MAWAZO Yangu tu.....
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu 1961 tumekuwa tukisikiliza audio ya wimbo wa taifa pekee, sasa nauliza video yake inatoka lini?....Tafadhali mwenye namba ya GodFather production anitumie nimpe kazi.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani iwe kwetu wana JF. Hii ni kwa wale waliopitia tu, ukiona huelewielewi ujue hujapitia, hivyo angalia waliopitia watakavyotiririka. Buruji pendwa kwa kila mmoja ni "chungulia pipa" Buruji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Kitambo Shuleni* John ana miaka 10 pungufu ya baba yake, mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa: 1. John 2. Baba 3. Mama ```Hili swali nilikua naliruka... sio kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa Maria sukari iko wapi? Maria: nenda pale kitchen, angalia juu ya meza upande wa kulia kuna hotpot juu yake kuna ndoo nyeupe sasa hapo kushoto kuna kikontena cha sukari... Kwa John sukari iko...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Bi Kizee kasindikizwa na mjukuu wake wa kike mwenye shepu ya nguvu kwenda hospitali kwa kuwa alikuwa anaumwa wakaingia chumba cha dokta; MJUKUU: Habari za leo dokta, tunaumwa tumekuja kupimwa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
'"Mishahara ya watumishi juu'" Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAZO LA LEO "Ni bora ukae bar ukiwa unawaza kanisani, kuliko kukaa kanisani ukiwa unawaza bar"
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE: 1. Nyumba 2. Gari 3. Duka/biashara 4.Simu 5.Mikufu pete na vito vya thamani Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME: 1. Vest 2. Boksa 3. Saa 4...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…