JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " kiazi wangu mbatata"hiyo itakuwa vita ya tatu ya dunia
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukweli sisi wenye wake hiki kimsemo kina kera sana, maana wale madomo zege sasa utakuta Ana tecno yake basi atajipitisha mbele ya shemeji yake na sauti juu, hapo ujue tu domo zege,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*USICHEKE:* *Jamaa katoka kanisani kufika home akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu*. *MKE: hee! mume wangu leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati hadi umenibeba juu*? *MUME:* *aaah!* *wapi...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Usikubali kuingia kwenye Uhusiano na mtu mwenye Tabia za Korea Kaskazini,wao muda wote wanawaza Majaribio ya Nyuklia...Huwa hawako serious... Leo anakwambia anakupenda, kesho anakwambia 'My ex...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani. Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika... +Mkifika hamchimbi kaburi. +Hamumlilii marehemu +Hamumswalii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
''Baby Nimemiss kweli Muvi,Can we go sa 2 tukacheki pale Mlimani nimeona ratiba Muvi ya Road to Freedom ya Mandela imetoka.Now niko home huku KITUNDA kwa Shangazi, ntakuja kwenye Saa 1 na nusu...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi!! Mke wa kipofu anachepuka na kiziwi! Na kuna bubu ndie anaejua stori zote kuwa mke wa kipofu anachepuka na kiziwi!! Sasa huyu bubu anataka kwenda kumwambia kipofu!! Vipi hapa wakuu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwenye Mapenzi lazima mmoja akubali kuwa FALA na MJINGA ili Mapenzi yaweze kwenda..Hamuwezi wote eti kuwa SMART...Haiwezekani.. Smart Lovers dont get far..Huu ndo ukweli. Na ndoa nyingi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Hii ime_happen leo. Kuna dada mmoja nilisoma na'e ngazi fulani ya elimu, Tangu tumemaliza umepita muda mrefu hatukuwahi kuonana. Sasa leo tumekutana kwenye daladala 1 la...
24 Reactions
113 Replies
12K Views
Ni hadithi ya kusisimua inayoendelea kwenye gazeti la mwananchi.....ipo sehemu ya kumi. Haihusiani na ule [emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*Kitambo Shuleni* John ana miaka 10 pungufu ya baba yake, mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa: 1. John 2. Baba 3. Mama ```Hili swali nilikua naliruka... sio kwamba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Mnyama yoyote mbali na Binadamu ambaye Dume halimuingilii Jike kwa nyuma yaani kupitia matakoni, hivi ni kwanini? Je, inaweza labda kuwa ndiyo moja ya sababu ya Wanaume wengi...
0 Reactions
35 Replies
21K Views
*Upendo wa kweli ni nini?* *[emoji117]Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani* *Kifo ni nini?* *[emoji117]Kifo ni pale...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa usiku wa kwanza kulala na mkewe baada ya harusi akaamua amuulize swali asubuhi yake:- Jamaa: Mpenzi wangu umewahi kulala na wanaume wa ngapi kabla ya kuolewa na mimi? Mke: Wote walikiwa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar za muda huu wana jamiii,ktk masuala yetu hasa ya mapenz kunakiti ambacho hulalamikiwa na wengi hasa wanawake wao ndio husema kwamba tunawachezea. Sas napata shaka na huu msemo kwamba kam men...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ha ha ha ha. Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground! Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Mimi nilikwazika siku moja, hapa JF niliweka mada nikihisi itakuwa msaada kwa jamii badala yake ikawa shubiri...ilihusu vifurushi vya chuo! Je wewe mwenzangu..
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu na harakati za kusaka tonge ili mikono iingie kinywani. Hivi wakuu, huyu beki tatu nimfanye nini, katika harakati za mizungiko yangu nikarudi zangu home wakati...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
TUCHEKE KIDOGO.. BIBI NA MJUKUU Mfalme alitaka kujua idadi ya makahaba ktk mji wake akawaambia wajipange foleni kuhesabiwa. wakapanga mara bibi kizee akapita akamuona mjukuu wake katika foleni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Paul pogba Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana Diamond platnumz Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom