JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
U-ukitaka K-kuvunjwa U-uti wa mgongo T-tarehe moja september A-andamana
6 Reactions
9 Replies
8K Views
Hv ni kipi kinamuumiza kchwa Mwanaume huyu
3 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Mama kapanda daladala, tiketi aliyopewa kusoma mmiliki wa gari ni mumewe. Kumuuliza konda konda akamjibu 'mbona ziko nyingi tu!' mama hoi. Hii ni Dsm 2.Jamaa alipofariki matangazo ya kifo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeikuta hii kwenye Whatsapp group fulani.... TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata, Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni rahisi,just click the link then bofya sehemu iliyoandikwa vote [emoji120] ,,thanks Airtel Tanzania - Selfie #BilaSalioWalaMB | Facebook
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Nyie si mnajua hesabu, Ipi ni Elfu kumi na moja? 1) 11,000 2) 10,001
1 Reactions
10 Replies
2K Views
D.Trump! Amerika amka na mchague D.Trump, Trump ameahidi kutoshambulia na kuvamia hovyo nchi nyingine kama hazijaitishia USA moja kwa moja, hakika D.Trump amechelewa vinginevyo Gadafi angekuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Yani Unachati dem Wewe upo kibaruani yeye yupo nyumbani mfano unachatnae fb,whatsaap au mtandao wowote alafu unamuuliza baby unafanya nini now anakwambia nimelala baadae tena unamuuliza unafanya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani. Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika... +Mkifika hamchimbi kaburi. +Hamumlilii marehemu +Hamumswalii...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
-Analipa wauza spare -Analipa mateja/wapiga debe -Analipa traffic police -Analipa utingo -Amalizie dereva -Analipa shanta -Analipa mafundi -Analipa manispaa -Analipa mamlaka ya mapato -Analipa...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
wikipedia: ninajua kila kitu google: nina kila kitu facebook: namjua kila mtu internet: bila mimi hamna kitu umeme: endeleeni kuongea.....
7 Reactions
11 Replies
4K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari husika.... mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ...... Tupe wewe dhambi unayoijua....
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
1 Reactions
2 Replies
1K Views
*Mzungu alisafiri na Mbongo kwenye ndege* *wakakaa siti moja* *Mzungu akamdharau sana Mbongo* *nakujiona anajua kila kitu duniani!,* *Akamwambia Mbongo waulizane maswali* *na Mbongo akishindwa...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Huu wimbo Wa manfongo sijaulewa.kipi hakinaga ushemeji?,na kinaliwaje?
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Habari wakuu, Selamat pagi(good morning), Kwa watanzania wanaoishi Indonesia si vibaya tukajuana.. Mie naishi katika kisiwa cha Sumatra mji wa Medan. Terima Kasih.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada ‘out’, mnaenda sehemu mmekaa. Wewe: Ehe utakula nini switii? Mdada: Chochote Wewe: Nikuagizie ice cream Mdada: Hapana meno yanauma Wewe: Haya wacha walete...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
BABY NAMALIZIA KUTENGENEZA MUVI YANGU, SASA TUMETENGENEZA KILA KITU ILA SASA TUNATAKIWA TUNUNUE SCRIPT TATU MBILI ZA BLUU NA MOJA NYEKUNDU BABY, HIZI ZINATAKIWA SANA MAANA SIKU HIZI MUVI LAZIMA...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Back
Top Bottom