JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wadau, Kigamboni ni peninsular ambayo inapatikana dsm,Tanzania ambayo inawakazi wanaokaribia takribani 200,000 kama wakifanya sense mwaka huu(2015).Kigamboni ipo wilaya ya Temeke ambayo...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Wewe umempa umuhimu wa kwanza...unamuwaza wa kwanza... ukiamka unamtext wa kwanza.... kabla hujala unamkaribisha... ukitaka kutoka Outing unamwambia...Umuhimu wake kwako ni kama network kwenye...
1 Reactions
3 Replies
839 Views
Ukiwa Mwanaume na Huna Hela na Sura yenye Mvuto basi kila Mwanamke unayemtaka atakujibu YOU ARE NOT MY TYPE...Halafu unashangaa wenzio wanaenjoy tu unajiuliza hawa wadada wanataka Type ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...kwa nini mnatubeza sisi wenye elimu ndogo?? ....Elimu yako inamlisha nani huku JF??? ...mna dharau kisa kuingia madarasa,,,,,? ..wapuuzi nyie,hamjui hayo madarasa,ni majengo tu mliingia...
3 Reactions
100 Replies
6K Views
Nimesikia wimbo Diamond pia kaimba anasema ukijshusha mateso yanazidi aloniliza ndo wa kunifariji. Mimi sijaelewa how alokuliza ndo akufariji? Kama ameimba knyume coz alokuliza aweza kukufariji we...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naamka Asubuhi Na Simu 2 Kutoka Kijijini, Ya Kwanza Mjomba Anataka Nimsaidie Mtaji Ili Aandae Shamba,wa Pili Ni Baba Mdogo Anataka Nimsaidie Mtoto Wake Kaomba Chuo NACTE Hadi Sasa Hajapata Chuo...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina maswali machache madogo kuhusu tamko hili... 1.Kwa vile tangazo hili ni kwa watani zake wa Darisalama, jee tamko hili ni la utani tuu kuatania watani zake?!, au ni tamko ni la kweli bali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Binadamu hawanaga wema bora niringe kivyangu na mungu wang.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi```[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] *********************************** Mwanaume baada ya...
9 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa Madem wana misimamo yao ambayo sijui wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au lah...Inapokuja suala la Bed Business,UTACHOKA! Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sar akasi si...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo 13/08 /2016 ni siku ya kimataifa ya watu wanaotumia mikono ya kushoto na hata miguu pia. Naomba niwatakie heri ya siku hii wana JF wote wanatumia mikono/miguu ya kushoto . Duniani kote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwa nini madalali wengi wa Dar wanaitwa Side au Beka?
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya walikamatwa na madawa ya kulevya China. Wakaambiwa adhabu ni mbili kifo au adhabu nyingine ambayo wakiishindwa pia wanauawa.Wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kutokana na kuweka mtutu wa bunduki jirani na mtutu wa nyama At least five Americans accidentally shot off their penises since 2010
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, wala nisiwachoshe rejeeni kichwa habari hapo juu, nawatahadharisha zile Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata, Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa, Mambo yenu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasaalam, namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu Wasaalam HoE.
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Unamtaka mwenye Range Rover, wakati baba yako ana baiskeli. Kwa nini usiwe mpole kama mama yako????
0 Reactions
5 Replies
793 Views
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone Valentine's Day imekaribia,ndio unajishaua na Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia Usela unalipa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji1]
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu ( 06838546 ♡♡) alafu nikamuita pphsss...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom