JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Caroline Kiyoki: Niaje James? James: Poa Caro, za Kenya? Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz? James: hapana, Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu? James: Yap...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A ☝
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Mi sitafuti kazi tayari ninayo. Natafuta kiki. Shukran. Matusi hakuna.
0 Reactions
15 Replies
908 Views
Unamwambia nini mpenzi wako baada ya match kuisha??? Know the power of the two words....POLE....na ASANTE! Sio unanyanyuka tu na kuwahi boxer utadhani umetoka kuvua dagaa. Ndio, MEN,naongea na nyie!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna wasichana wanamakusudi sana,Wanajua kabisa wewe unaishi Uswahilini na chumba unacho kaa hakina siling-Bodi ila cha ajabu sasa badala ya "kutoa chozi" kuendana na Mazingira wao Wala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*_KANISANI_* _Mchungaji alisema;_ *_FANYA JAMBO MOJA LA KUMSHANGAZA MUNGU._* _*Dakika mbili nyingi,Jamaa mmoja akakimbia na kikapu chenye sadaka!*_ [emoji86] [emoji86] [emoji86]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
8 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi kweli unamuomba mwanaume akuTIGOpesa????!!
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Mungu ana akili sana alivyotuumba,laiti kama Miili yetu hii ingekuwa kama Housing za Nokia Kitochi,the more unavyotumia ndo Button zinaumuka kama Mimba ya Mjusi sijui ingekuwaje Maana kuna watu ni...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kupiga Picha na Mandela hakukufanyi na wewe uitwe Mjukuu wa Madiba,utabakia kuitwa mgogo wa Hombolo tu...Kuitwa kwako Baby kusikufanye ubweteke na kujiona umemaliza kazi,Kuitwa Baby ni mwanzo wa...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina lako tu, Good morning Kelvin..Hallow Kelvin How is your Day...Goodnite Kelvin. Ukiwa unampa kati ya...
3 Reactions
2 Replies
949 Views
Nataka kujua sifa za mwanamke mrefu na mwembamba maana nawapenda sana wawapo sita kwa sita na pia sio wavivu wanajituma sana kama mwenye sifa za ziada tuchangie kidogo.
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Wakuu habari za sikukuu ya nane nane Wakuu kama mnavyofahamu hali ya maisha awamu hii ya gwala imezidi kuwa ngumu, sasa mimi nawazia njia ya kupata vocha ambayo iko dukani haijauzwa lakini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Msemo huu kwa sasa umekuwa maarufu sana katika mtandao huu, na wengi huutumia kutoa tahadhari kwa mtu/watu anayetumia maneno yote kumshtumu mtu/watu fulani kudhihirisha kuwa mtu/watu huyo/hao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
We did live a difficult times kama vile sio ndugu tomorrow we are one my sons and daughters. Afrika moja.
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Puuza ujute!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Japo naona utani ila sio utani. Hii ni kiboko ya wachepukaji
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukitaka kumjua Msichana aliyenunua gari kwa Mkopo wa Benki au Saccos au kuhongwa gari baada ya kufunuliwa kombe wala usipate shida,we mfuatilie Aina ya Status atakazoandika tu utajua anakutumia...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom