JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
.
0 Reactions
84 Replies
17K Views
Nakumbuka enz za campus hapo nishatwaa Mr chuo chetu..Dah arfu unajua mimi mvivu wa gym sanaaa..Hapo kuna mablazamen fran hivi wana miili kama baunsa wa daimondi..Asee nshapitiaga madem zao..Kuna...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Unaomba kazi ukiwa na vyeti vyote...umefaulu vizuri...Una-Qualify kabisa kupata hiyo kazi....Baada ya Interview Bosi mmoja anakufuata anakwambia Kazi Uliyoomba unaweza kuipata ila umechemka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Za asubuhi wapendwa. Naomba kuwauliza nyie wanawake mnamchukuliaje nyoka mkimwona kwenye picha au kukutana nae live?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za leo. Mimi nimekua nikitafuta kila njia ya kutambua namba zilizopo kwenye vocha bila kukwangua nashindwa. Ila nimepata wazo kwa taaluma yangu ni daktari niko hospitali ya wageni hapa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Tanzania Daima: Lissu awafundisha sheria mawakili wa serikali. NIPASHE: Kibatala tishio, mawakili wa serikali wamgwaya. MWANANCHI: Nchi yasimama kusikiliza kesi ya Tundu Lissu MTANZANIA: Lissu...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Ndoto yangu ya kuwa milionea (intems of €£$) kihalal ipo palepale ingawa inachelewa bado sijakata tamaa. Nitatumia kila aina ya mbinu niwe milionea kihalal. Natamani...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuendelea kuwa na mawasiliano na Mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembelea muwa kama fimbo, ipo siku utautafuna tu.... Ni mtazamo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana nilikuwa naranda na rafiki yangu sehemu tofauti tofauti mara akatokea mdada mzuri sana, nikajitambulisha jina langu na yeye akaniambia jina lake. Bila ya kuchelewa nikamuomba nitoke nae...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu poleni na harakati za kutafuta tonge ili mikono ipate kuingia kichwani!! Hivi wakuu!! Ni njia gani ya kutatua maisha tofauti na kutafuta pesa!!ushauri wenuvtafadhali!!!
0 Reactions
9 Replies
896 Views
Huyo Mpenzi uliyenaye unampenda KWA JINSI ALIVYO Au Unampenda Kwa sababu ya ALIVYO SASA? Wewe unayejifanya unaahidi na kuapia,I love you baby,with all my heart,I will never love you or cheat...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
You had just ordered a pint of beer when you were taken short and had to rush to the toilet. Before leaving, you spat into your pint and announced loudly, “That’s mine.” A bloke next to you also...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaju akabisa kidume chake alichokichagua hali yake sio nzuli ni ya mgegedu..Lakini akalidhika na Ndizi kisukari.. Sasa Mmefika Kwenye Mechi Anatoa Amri Ambazo Haziendani Na ndizi...
8 Reactions
108 Replies
10K Views
Wakuu Hapa kitaa kuna dada mmoja ni stookipa wa kampuni moja ya vifaa vya hardware. Huyu dada kanifuata tangu wiki 3 zilizopita ili nimfundishe twisheni ya Baiolojia, Kemia na Fizikia maana ana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
I love women..! Wanawake ni sehemu kubwa ya jamii yetu,ni mama zetu,dada zetu n.k, lakini kwa hili la kukaa vibalazani na kupiga umbea no no no i don't like it! Kuna vitu vingi vya kufanya ni...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna Wasichana Wanajifanya wataalamu sana wa Mapenzi kitandani wanataka kujaribu kila kituuu waonekane wamo lakini wapi... Wakifika kitandani hawatulii, wanazungusha kiuno kama feni ya bar.. wako...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna Wanawake wana balaa utadhani wanatembea na Ramli ya Mganga,usiombe awe ndo mchuchu wako Mtagombana deile wanajifanya wanajua kukagua kuliko maafisa wa TRA Makao Makuu Msipoonana wiki 2...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom