JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakumbuka kipindi hicho redio ilikuwa inatangaza mpira wa simba na yanga sasa tukawa tunasikiliza, mimi nikamuuliza mzee mmoja sasa simba anacheza mpira na huyo yanga!!vipi huyo yanga hamwogopi...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Eti Vibamia ndo nini?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Histori ya haya mashine. Haya mashine yalizinduliwa mwaka 1890 huko taifa la Bulgari na kuanza kufanya kazi mwaka huohuo. Historia inasema yalipelekwa India kwa muda wa dakika kumi yalikamata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
OMBA OMBA Ni JEURI kinoma.. wameshafukuzwa DAR na SERIKALI zaidi ya mara 10 warudi kwao DODOMA wamegoma mpaka SERIKALI imeamua yenyewe Ndio ihamie DODOMA. [emoji125] [emoji125] [emoji125]...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Mlevi: Halooo!! Hapo ni kituo cha polisi???? Polisi: Ndiyo, tukusaidie nini? Mlevi: Kuna wizi umetokea. Nilipaki gari langu baa,nimetoka nakuta usukani, dashbod na kiti cha dereva havipo...
9 Reactions
6 Replies
3K Views
Usione watu wanapenda kuvaa High Heels hata kama kaalikwa kwenye Ubarikio..Kipai mara.Komunio.. ye anagonga high heels tu.. Sio kama Wanapenda..Wengine zinawasaidia angalau waonekane nao wamo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu m nataka ntoe ya moyon Leo,Kama Na ww unalo lako moyon utatoa coz unaruhusiwa Na katiba iliyopo.. Kiukweli serikali ya mkemia inakurupka,maana inakimbilia kufanya mambo yasiyo Na faida...
1 Reactions
4 Replies
911 Views
Ni hivi wakuu nimerudi nikakuta beki 3 ameendaa maji ya kumwogesha mtoto!! Sasa ile amemwagia maji mgongoni yale maji yalivyo ya baridi amezimia!!nikajikuta na mimi nimemzaba kofi yule beki 3 nae...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Jana ndio siku ambayo safari ya mwisho ya marehemu david wakati hapa duniani ilihitimishwa. Kwa kweli jinsi televisioni ya taifa ilivyoipa coverage hii safari, binafsi haikunifurahisha. Pamoja...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wasee wa nozen Highland a. k. a half London mukuje huku tupige mishe mimi natokea kiraracha kwa mwenyekiti wa parole ww wap????
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Jamani waungwana! Kwa wale mlioko Mwanza; kama ikiwezekana tufanye mpango tuonane viwanja vya Nyamhongoro ambako maonesho mbalimbali yanaendelea. Kwa jana nilienda na kujifunza mengi lakini kubwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Masai mmoja alikaa kivulini ghafla panya akaingia mdomoni hadi tumboni ikabidi masai apige simu kwa dokta wa kimasai maongezi yakawa hivi! Masai"dokita wakati mekaa hapa panya kasama mdomoni hadi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya Wanawake wameSUGGEST Kwamba kuna Wanaume wanahitaji kuvaa BADGE ya LENA (Learners) kwenye Zipu kwa sababu Hawajui Mapenzi na hawataki waambiwe hawajui wala hawako tayari wafundishwe...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani folks, mi uwa namkubali sana nyani ngabu kwa ngeli yake kwani huwa inanibidi nitafute dictionary. Hivi monkey ngabu unafanya kazi pale british embasy au mwalimu wa internatonal school au we...
0 Reactions
277 Replies
19K Views
Zuzu alioa mke mzuri sana mpaka watu wakawa wanateta namna Zuzu alivyompata mrembo huyo. Mara baada ya miezi minne na nusu mke wa Zuzu akajifungua mtoto wa kiume. Zuzu akazusha kweli: Mume...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu jamani Jf, Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana. Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika. Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji. Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya. Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo kati...
8 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom