Kila mtu sasa hivi macho mbele, macho kodo
anatafuta'Somebody material'ajibanze ili apewe
nafasi ya kuwa aidha Raisi wa Familia(MME) au
ateuliwe kuwa Waziri Mkuu wa Familia(MKE)
Tumia Macho...
Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR...
Ombi langu kwenu.
Mnaonaje kama tukiamua kufahamiana kwa sura zetu?
Maana inawezekana tunaishi mtaa mmoja, tunasoma shule/chuo kimoja, tunapanda daladala moja, ni ndugu, ni marafiki na labda...
Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi...
je ni kweri kwamba sasa hivi Starehe,Anasa jijini zime pungua!;):cool::p.
maana kuna sehemu naona bado uzi umelegezwa sasa na hivi wakuu wanataka kwenda Dodoma mhuu!!! .Jamani utanda wazi ni mzuri...
Kuna Wanaume huwa nawasikiaga wakiongea kwenye Vijiwe halafu huwa naishia kuwashangaa tu, "Demu wangu nampa KILA KITU lakini bado anachepuka sijui kwanini HARIDHIKI"....Sio kweli blaza...
Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo, mbwa, Paka na Kinyonga walikuwa wameenda kwa mfalme kumsalimia. Sasa wanyama wengine wakawa wanaomba zawadi toka kwa mfalme kasoro kinyonga.
Kinyonga akawa anazungusha...
Wana JF.
RAFIKI YANGU KANIAMBIA kuwa alienda kufanya Interview ya ktk kampuni flani Na moja mswali yalikuwa hivi "so how far did go with your education?" na Majibu ni l didn't go far just...
Wakuu poleni na majukumu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, hua nasikiaga mwaka wa fedha mwaka wa fedha tangu napata akili hadi saa hivi, hivi ni kwamba huo mwaka ukifika tutagawiwa fedha au...
Wewe ukisema wa nini na kutema shombo kwake
kuna watu wanalia kumpata mwaka mzima
wametega ndoano zao,wewe unampaka shombo
wenzio wamepose na mataulo wanasubiri umuache
wao wampokee,wamfute shombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.