JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jumapili njema Nazungumzia aina za wapenzi,maana katika maisha tunatodautiana kwa mambo mengi...twende sasa 1/Sugar mummy & Mario Penzi la aina hii ni kati ya mwanamke wa makamo na...
22 Reactions
148 Replies
17K Views
Naomba kuuliza wapendwa huyu mwanamke anaitwa Shael yupo pande zipi kwa anayemfahamu.Alisomaga Makongo secondary miaka hiyo. Mwenye mawasiliano anisaidie.
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni gheto langu tu linachongua mashori
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimeplan summer holiday hii nisome vitabu vng. unanshaur ktabu gan cha mapenz knanifaa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Poleni na weak and wakuu!! Hivi gari la gear 5 lenye speed 180!! Niaendesha hadi gear no.5 na speed ikafika 180 alafu hapo hapo nikukuta mteremko mkali gari nikaweka free!!! Je!!! Speed mita...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni hayo tu wakuu amenishangaza ......am confused !!sasa hapa alikua anamaanisha nini?halafu tangu siku hiyo ananiganda sana Kwenye profile yangu kuombwa maji baada ya "kibabababa" cha lisaa 1 and...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Juzi nimeenda job interview flani alaf nikaulizwa "So how far did you go with your education?" Nikajibu "I didn't go very far because our school was just behind my house"...wakaniambia niende...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umemuonyesha Unampenda,umesota weee kumtoa Lunch na Dinner lakini wapi..Meseji anajibu akijisikia....Ukimwambia I miss you anajibu "K"...Ukipiga Simu hapokei na akipokea anaongea kama Mtu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikitokea UMEBARIKIWA utasikia Ohh bwana hii hapana itaniumiza mi napendaga vidogo-dogo ndo nainjoi...Unaweza ukasema Yeess labda wanapenda Ndizi Kisukari... Sasa Kosea uwe na KiNUKTA utakuwa gumzo...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Halafu Demu akikuacha unalalamika, "Wanawake wa Siku hizi hawaridhiki,nimempa kila kitu yule Mwanamke lakini bado ameniacha" Ukipewa Lips unahangaika kama Fundi Cherehani demu akirudi home...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Nimepita gereji mara moja mida ya saa tisa hivi, fundi wangu kaletewa wali maharage na maparachichi kama matatu hivi, akashushia fanta ile nyeusi. Baada ya kama dakika kumi akapita muuza madafu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Imagine unasafir mdogo wako ana drive kukupelek air port/bus station mkiwa kwenye gar dogo ana play wimbo 'hainaga USHEMEJI tunakulagaa tu'...kumbuk mkeo/mumeo yeye hasafr..nipen mawazo yenu apa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
*Teacher:* Tunga sentensi ukitumia pesa *Mushi :* Hapana zitaisha.... [emoji87] [emoji87] [emoji87]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I have been dating 'HER' for over 3months now and everything is going fine. Last week I decided to invite her to my place, and she came. When we were together, her phone rang but she refused to...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
= Umeingia chooni na kukuta Mavi ya maana yameshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kujisaidia na kuskia kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Za mchana wandugu Kutokana na agizo la kamanda kuwa kila mtaa uwe na kikundi cha ulinzi shirikishi, Sisi mtaa wetu umeanzisha hicho kikundi na watu wanajitolea kulinda. Sasa majuzi nilikosa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
*Pamoja na hali mbaya ya uchumi hapa nchini bado MSHAHARA wa dhambi haujabadilika.....ni mauti vile vile*.... [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemiss michango yake humu.Sijui yupo wapi sikuhizi,kwa anaejua anijue ili nimuulize hata maswali matatu. cc:@miss chaga
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Kuishi kwenye chumba kimoja huu ndio uzoefu wangu Ukitaka kumjua mkazi wa chumba kimoja mtembele kuanzia saa tatu hivi usiku, utakuta kila kitu ndani yakiwemo majiko, ndoo nk Ni ngumu...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Back
Top Bottom