Njia za kujua kama umri umekwenda:[emoji12] [emoji12] [emoji12]
1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE
2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ...
Mchungaji katika mahubiri yake akasema...kama ningekuwa na uwezo..bia zote ningezitupa mtoni,akazidi kuongeza na konyagi zote ningezitupa mtoni,hakuishia hapo akasema hata...
Wakuu poleni na weak and
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana!! Yaani ni mtu wangu wakaribu sana kiasi kwamba chake changu na changu chake!
Sasa wakati leo naelekea zangu stendi gafla nikakutana...
Al-Ijumaa ndo hiyoo inaikaribisha al- juma- mosy kama huna mana eleka mawe. Nikiwa kwenye kingo za bahari nimeimbiwa hivi na dadii..................
I wanna love you and treat you right;
I wanna...
Am proud when my ex-galfrnds get married, it shows that my relationship academy is doing extremely well coz it produces women that can be wives.
Anyway for those interested september intake is in...
Huu uzi kwa wadada wa jf tunataka kuvunja mabishano ya nani zaidi kati ya Wanaume wa Dar na Mikoani. Wadada ukiambiwa uchague kati ya mwnaume wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
Pia Wanaume...
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya...
leo ni siku ambayo nimekutana na rafiki yangu kipenzi. Basi akaamua kunipeleka viwanja fulan hapa dar!
Nikamwona rafiki yangu akiagiza bakuri mbili za supu! zikaletwa, kuzichek nikakuta ni supu...
Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)??
Akajibu.
sio kubwa zote ni viungo(joint) ila katika welding kuna cheche kwanza halafu ndo...
Jamaa alikuwa kanisani,jirani yake akamnong'oneza "kwa uwezo wa Mungu leo utatembea".....jamaa akafikiriaaaa "mbona sina ulemavu wa miguu?" Lakini akaona hamna noma,labda Mungu anataka kufanya...
Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia...
Wana jamvi mimi mwenzenu same time hua nakaaa najiuliza maswali nikiona sipati jibu ndo nawashirikisha kwa kupata ufafanuzi zaidi maana naaminigi sana j.f. kuna zaidi ya vichwa!!
Swali lenyewe ni...
Wakuu karbuni katka thread hii ya kibabe, thread ya kuwachana wote wanaozingua.. tuwe wakweli Na ujumbe uwafikie wanao husika..!!
Mm nianze Na hawa mastaa wabongo wanao jifanya wanajua kizungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.