Hbr wanajf hasa wa jukwaa hili!
Niende kwenye mada husika, leo asubuhi nikiwa naendesha gari nikitokea mlima city kuelekea sinza madukani kupitia makaburini, nilipofika maeneo ya makaburini...
Hey, Nimekuja zanzibar na saa hii nipo hapa kwenye hili Tamasha, ivyo member yeyote ambae yupo kwenye hili tamasha la filamu hapa zanzibar hebu tuchekiane hata kwa PM
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula
kwenye jalala mara ikapita Land Rover ya
FFU na ndani yake kuna mbwa wa Polisi;
Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu
kisha akamwambia mwenzie...
A Japanese ship is on route back to the shore from the Atlantic Ocean. Seeking the silent waves, the captain decides to take a shower. He keeps his Rolex and diamond studded gold bracelet on the...
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kwenye Hospitali ya Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali...
Siku nilipogundua bangi sio mchicha ni pale ambapo nilitoka ndani kwenda kutoa pesa kwa M-pesa nikiwa na remote ya TV,nikaacha simu ndani...
Nilipofika kibanda cha M-pesa na remote ya TV mzee...
kabla ya huu mfumo mpya nilikuwa na likes zaidi ya 1500. ulivyokuja huu mfumo nikajikuta zimebaki 0 ilhali posts na likes nilizotoa zikibaki vilevile. JF sitaki ugomvi na nyie, ninachotaka ni...
Kipofu mmoja aliingia mgahawani
huku amevaa miwani mweusi.
Baada ya kukaa, kaka mmoja
mhudumu akaja kumsikiliza na
kusema "nikupe chakula gani au
niletee menu uchague mwenyewe?"
Yule kipofu...
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika
1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji ...
Msomi na Mjinga walienda katika usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Msomi kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.
Basi Msomi akaingia na maswali yakawa hivi:-...
Girl : I want to show you
something
Boy : Okay
Girl : Can we go inside the
bedroom?
Boy : sure , we can
Girl : Can i off the light?
Boy : Go on
Girl : Can i close the curtains
and
windows?
Boy ...
In October 2012, I started my degree. And after four years of huffing and puffing, Iam done with it Nimejifunza mengi, changamoto nyingi pia kujuana na kufahamiana na wengi. Congratulations to me...
Ndugu wanajamvi,
Nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB Tabata Bima.
Aisee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St Merry...
1:Sipati picha siku moja hv tuamke tukute maji yote baharini tukute hayapo
2:sipati picha siku gorofa la tanesco tukute halipo na lisijulijabe limeenda wapi
3"sipati picha siku tuamke asbh tukute...
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi.
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.