Leo nimeamka nimechoka sina pesa afu nilikuwa nahitajika mbali kdogo na hapa nilipo. Kwenye mpesa nilikuwa na balance ya sh 11000 hv.
Baada ya kutoa nakuta salio lililo bakia no sh laki 3na 40...
Siyo kama naifufua.nataka nijue tu mwisho wake.
Iliifanya chit chat kuwa kijiwe cha kipekee.
Lady doctor wa Arushaone Vs The secretary wa Bishanga..
Nukuu:
Alianza mke wa Bishanga...
Kuna...
Jaman wadau mnaoishi kimara hii folen ya Leo kuna nin huko maana toka y
Ubungo Maji folen imekamata mpka hapa mataa ya bucha kwa mlio huko mbele mtujuze nin shida
Yule mtoto shoo rangi ya jogoo aka Dinazarde au ukipenda muite Mkaanga Samaki au beki tatu ndo huyu hapa.
Na wigi lake sijui la zambarau hilo na jeans yake ya mchaniko....akinenguka nenguka...
Hii Tabia Ilianza Kidogo Sana Ila Kadri Siku Zinavyoenda Sasa Imeota MIZIZI Huku Ikileta Sintofahamu Katika Jamii.
Imegundulika Ya Kwamba Wanaume Wengi Sana Siku Hizi Wameanzisha Tabia Ya...
Unapewa number na demu halafu anakuambia uwe unampigia saa 12 asubuhi
pekee, unashindwa kuelewa na kujiuliza maswali mengi ni kwanini?
Kidogo kidogo unachunguza na kugundua kuwa amekusave...
HABARINI MABESTITO WA UKWEEEEEEEEEEE
NIMEONELEA NIWEKE KIUZI HIKI KUWAKUMBUKA WALE WOTE TULIOKUWA TUNACHAT KILA DK HAPA CHITCHAT MPAKA WAKASEMA HII NI SEHEMU YETU SIYE WAKONGWE MPAKA NA...
Habari!
Leo katika safari zangu nimekutana na mdada yupo na hii ndinga yake; imebidi nipishe kwakweli, maana sasa wanawake inaelekea mmeamua mbwai iwe mbwai!
Habari za mihangaiko wanaJF.
Kuna kitu wasichana itabidi mjifunze binafsi kimenikera sana mtu unamtafuta au unambip zaidi ya mara4 anakupigia anakuuliza in a good way majina yako na sehemu...
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale!mi nilikuwa nauliza tuu hivi ni kwa nini askari polisi kitengo cha F.F.U huwa wanavaaga miwani meusi ile ya kutishatisha???hivi ni kwa nini yaani...
Upo club kidogo kidogo pale club unadance solo...Mara gafla kademu kanakusogelea kukutabasamia.... Unaanza kushukuru sir God umepata wa kucheza nae....mnacheza Kaka 30 minute then kanakunongoneza...
Niaje Wazeiyaaaah...
Mko Bwaxx....
Ebana katika majukum yetu haya ya ukandarasi nikajikuta (nikabahatika) majuz kufika USA.
Nisiwe na porojo sana, ni kwamba the way nilivokua napackia palivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.