JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize. Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku? Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimu...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Mlevi wa kutupwa yuko chakari na mkewe kitandani anastarehe kwa kumtomasa mkewe matiti. MLEVI: Mke wangu mbona maziwa yako makubwa sana leo? MKEWE: We nawe na mipombe yako!,unashika matako unasema...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
"Unapokimbia peke ako unawahi kufika ila unapokimbia na wenzako unaenda mbali zaidi."
0 Reactions
2 Replies
766 Views
*MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI* 1.Nancy - Muongo 2.Julieth - Kicheche 3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu 4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza 5.Hellen - Ana...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Leo jamaa akaniambia twende sehemu tulivu kupata chochote! kwa sababu tuliekuwa nae tumepoteana kitambooo! Leo tulivo kutana akanipeleka viwanja fulan hapa dar. kumbe sehemu hiyo si wanapika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1 kuwa mcheshi kwake 2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako 3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea, wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharau kwake 4 mshirikishe kwenye mambo yako...
11 Reactions
64 Replies
10K Views
karibuni sana katika forum hii, members wa forum hii hatufungamani na upande wowote. Uwe wa zamani au wa juzijuzi unakaribishwa. kadarkhani236 slim beauty paka chongo kiraka popote Man Eric...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
WanaJF. Huyu samaki anaitwaje? Wanapatikana wapi hapa tz? Tanzania is poverty because doesn't 've Tanzanian
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam aleikum wadau wa Jukwaa hili na Jamii Forums kwa ujumla... Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehma zake kwa kuniwezesha kuuona mwaka mwingine. Namshukuru Mzazi wangu...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Zuzu alioa mke mwerevu sana. Mara baada ya miezi minne na nusu mke aka zaa. Zuzu akazusha kweli: Mume: Nitakupa talaka uende kwenu. Utazaaje mtoto baada ya miezi minne na nusu. Kwani ni kuku wa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike. Akamuuliza dokta wa mifuko "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku?" Dokta akajibu "kwa wastani mara sita kwa siku " Mke...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1:Hapo zamani nilikuwa nikinunuliwa ndala mpya siziwai hadi nioge 2:hapo zamani nakumbuka kuna siku mama katoka kujifungua nikamwuliza mtoto umemtoa wapi jibu alonipa kajibu katoka kumnunua...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wazee wa kitovu cha nchi bado mtajinyonga na Dar yenu? Au mtawafuata Magufuli na Majaliwa huku Dodoma? Karibuni Dodoma Makao Makuu ya Chama na Serikali!!!
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Hii kitu nimeikuta maeneo ila imenichekesha mno...RIP keiwai!
2 Reactions
6 Replies
2K Views
mcheza kamali akiliwa hata milion 1 akipewa 2000 ktk ile hela aliyo liwa huwa anafurahi sana. na mcheza kamali kwa siku moja anaweza akala magali mawili lakini nayeye vyote kesho analiwa vyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
angalia jina lako alilo lisave kwenye simu yake. jana nilikua naangalia majina ya simu ya dada mmoja niliyakutana na majina ya ajabu sana. na akaniambia yeye huwa anaandika jina la mtu kutokana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
ukiona phonebook ya simu yako ina majina ya 'mama glory,mama ema,ma asha,ma kevin,ma karim.....ba hadija,ba joshua,ba faith........BASI JUA UMRI WAKO UMEKWENDA!
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ninyi mnaopimapima ukimwi kila mara....mnachokitafuta mtakipata!
0 Reactions
7 Replies
686 Views
Wapendwa naja arusha,ni mgeni,wapi tapata motel nzuri ya kulala?isizidi 50000
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Mzungu: Unajua kuogelea? Mbongo: Hapana! Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea! Mbongo: Kwani we Unajua Kuogelea? Mzungu: Ndio!! Mbongo: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom