Jamani mwenye kuhitaji ID yangu ya Mudawote naiuza. Masharti, atakayeinunua anatakiwa aendeleze mapambano zidi ya ukawa/chadema na awe mtiifu kwa CCM na viongozi wake.
Nakaribisha wanunuzi
Vipi makamanda laifu linasonga wanangu ? Last week nilipita uzunguni pande za Masaki na Oysterbay kupiga mishemishe kule...Basi nikanusanusa na kugundua vijimambo vyao ambavyo pia vipi sehemu za...
Nakumbuka kipindi nimekuja mjini pale sehemu nilipokuwa nakaa nje ya ile nyumba kulikuwa na kama kijisenta fulani hivi cha watu mbalimbali kukutana!wengine wanacheza drafti!wengine...
Familia ya mfumo wangu wa fahamu inapenda KUTOA shukrani kwa Bibie flora na miss chaga kwa makubwa mnayonifanyia katika moyo wangu na hasa pale mnaponikonga nyonyo na kunisisimua kwa michango...
Wakuu ni siku nyingine tena iliyotulivu na rasharasha za mvua hapa na pale!!
Wakuu leo asubuhi huku kitaa kuna mvua ilinyesha kidogo!! Sasa wakati miminaelejea zangu stendi ikawa kuna bodaboda...
Wakuu poleni na shamrashamra za asbh!!vile vile tumshukuru mungu alietuamsha salama!!
Kama mtakumbuka kuna siku humu kuliletwa tread inayosema!! "Badili mkao wa chumbani kwako"
Sasa wakuu...
Jaman haya n baadhi ya majina ya sehem flani hapa Tanzania Kama naww unayo mengne weka Ili tusaidiane kushangaa
1.Kekombyo
2.Karukekele
3.masinono
4.ryamugasire
5.kangetutya
6.nyasaunga...
1.Ni Tanzania pekee ambapo mtumishi wa chini wa serikali anae pokea mshahara wa milioni 1 kwa mwezi anatembelea gari la milioni 380 (Toyota Laind Cruzer V8)
2!. Nitanzania pekee mwanafunzi...
Dogo mmoja alimwuliza mama yake swali ambalo lilikuwa linamsumbua sana kutokana na mazingira ya geti kali kuwa magumu sana kwa dogo.
Dogo: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitakuwa mkubwa...
Tulizoea Kuona michango yao ndani ya jf lakn kwa kwa kipindi kirefu sijawaona kwa yeyote mwenye taarifa zao sio mbaya tukajuzana..
Watu 8, The secretary, christine ibrahim, miss strong, CYBERTEQ...
Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani na ni hatua ambayo hakuna mwanadamu anaeweza kufika hatima ya maisha yake kwa ubora na matarajio bila kuipita. Kujitambua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.